Search results

  1. Vijisenti

    Benki ya NMB Jirekebisheni, system yenu inatia shaka

    Dah mimi ni leo tu imenitokea elfu tatu mpaka sasa haijanifikia hii benki inatia shaka!
  2. Vijisenti

    BASATA, kosa la Dulla Makabila ni lipi akionesha Mchungaji akihukumiwa kwenda moto wa milele?

    Wakati mwingine tuache kuendekeza mambo mepesi, hata mafundisho ya dini ya kiislamu hayakatai kuwa kuna viongozi wa dini wanafki kama yule mchungaji ni mtiririko wa vina tu ndo umemvutia Dula kumtaja Mchungaji.
  3. Vijisenti

    Msaada: Hii namba 0800 ni ya mtandao gani?

    Naomba kujuzwa wakuu imeanza +2550800 71.....
  4. Vijisenti

    MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    Mi niko Haojue EG 150, nakimbilia mwaka wa 4 huu sijalipia Bima.
  5. Vijisenti

    TANESCO Lindi inawatesa wananchi, TAKUKURU iko kimya

    Lipa wewe hizi sio zama za magufuli Takukuru wenyewe ni wala Rushwa
  6. Vijisenti

    Korosho imeua watu wengi sana msimu wa 2018/2019

    Achilia mbali wale inaosemekana wamejiua!!! Kuna wengi sana wamekufa kwa Shinikizo la damu kutokana na msongo wa mawazo uliopitiliza... mmoja tumemzika wiki iliyopita ama hakika........
  7. Vijisenti

    Andrew Chenge ni wakati wako sasa

    Tofauti na vile wengi wanavyokuchukulia mimi ni miongoni mwa watu wanaokuamini, wewe ni Mjanja na msomi mwenye hadhi pia, naamini kama utashika hiki kijiti tutasonga mbele. Wakati umefika sasa wa kutumia elimu yako kuipeleka Tanzania kule Tunakohitaji Chenge tunakuhitaji 2020
  8. Vijisenti

    Uhusiano wa kuwashwa mkono na kupata fedha

    Inawezekana kabisa mkuu.
  9. Vijisenti

    Uhusiano wa kuwashwa mkono na kupata fedha

    Nimetafakari hili jambo mpaka akili yangu imefika ukomo, Mshana na wengineo naombeni kuelimishwa hili jambo ambalo siku nyingi nimekuwa nikilikanusha kwa kusema kuwa ni Imani zilizopitwa na wakati linatokana na nini? Yaani kwa sasa naamini kabisa nikiwashwa na mkono wa Kushoto basi haizidi siku...
  10. Vijisenti

    Ahadi ya malipo ya pesa za Korosho ni hewa

    Unakusudiwa hawa wanaopelekwa na magari? Hawa wenye nguo za kijani na njano?
  11. Vijisenti

    Ahadi ya malipo ya pesa za Korosho ni hewa

    Bado mambo ni magumu, waliahidi mwisho Tar 30. March leo Tar. 8 April Mashamba hayajaandaliwa. CCM ni bora ijitafakari tu haifai tena kuongoza nchi hii.
  12. Vijisenti

    Barua ya wazi kwa Rais Dr John Pombe Magufuli

    Wewe AKILI TATU huwezi kuwa MAGU yeye ni AKILI ZOTE.
  13. Vijisenti

    Arusha: Mji ulioshindikana kwa watu kula 'bata' hapa Tanzania

    Si ni huko tumesikia wanaume hawaogi?
  14. Vijisenti

    Tanzania said nothing about Trump election!

    Watasemaje wakati ndio tabia yao.
  15. Vijisenti

    Tofali za Kuchoma ni nafuu na imara kuliko za saruji

    Ukijenga nyumba kama hiyo utafurahi sana jambo la kuzingatia ni kumpata mtaalamu mzuri wa kuchoma tofali, yaani ukiweka na bati kama hizo utapenda
Back
Top Bottom