Korosho imeua watu wengi sana msimu wa 2018/2019

Korosho imeua watu wengi sana msimu wa 2018/2019

Vijisenti

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
544
Reaction score
330
Achilia mbali wale inaosemekana wamejiua!!! Kuna wengi sana wamekufa kwa
Shinikizo la damu kutokana na msongo wa mawazo uliopitiliza... mmoja tumemzika
wiki iliyopita ama hakika........
 
Eh si mchezo, mimi ninachojua RAIS kadanganywa na watendaji wake kuhusu KANGOMBA
na KULA MAUA jambo ambalo limesababisha ugumu wa kulimia mashamba.
 
Nje kidogo ya mada mkuu

Huyo jamaa kwenye avatar yako Sheikh Ahmed ambaye alikua Rais wa Somalia ni kweli anaishi Dar siku hizi?
 
Achilia mbali wale inaosemekana wamejiua!!! Kuna wengi sana wamekufa kwa
Shinikizo la damu kutokana na msongo wa mawazo uliopitiliza... mmoja tumemzika
wiki iliyopita ama hakika........
Poleni sana Mkuu nilikuwa Kitama mwanzoni mwa mwaka huu, niliyaona yanasikitisha.
 
Hatari Faya......Somo la Uchumi liwe la lazima kuanzia Form One hadi Chuo Kikuuu regardless unasoma Combination gani au Course gani.
 
Du ngoja nitafute ile picha ya mzee baba na wanajeshi wakiingia kazini kwenye biashara ya korosho.
 
Achilia mbali wale inaosemekana wamejiua!!! Kuna wengi sana wamekufa kwa
Shinikizo la damu kutokana na msongo wa mawazo uliopitiliza... mmoja tumemzika
wiki iliyopita ama hakika........
Hata mimi binamu yangu tumemzika mwezi uliopita kwa shinikizo la damu baada ya kudhulimiwa kwenye korosho
 
Kulikuwa na mkakati wa kukomoa kangomba humo humo ambao wanasadikika kuwemo: Hawa Ghasia, Membe, Nape nacwengineo
 
Achilia mbali wale inaosemekana wamejiua!!! Kuna wengi sana wamekufa kwa
Shinikizo la damu kutokana na msongo wa mawazo uliopitiliza... mmoja tumemzika
wiki iliyopita ama hakika........
I Hope hsijakuua na wewe!
 
Back
Top Bottom