Search results

  1. T

    Namna ya kuenzi video vya watoto wetu wapendwa Arusha

    Nashauri Rais wetu mpendwa atangaze siku ambayo ajali hii imetokea tarehe 6 may siku ya kukumbukwa Kila mwaka na pawepo na Mjadala wa kitaifa wa namna ya kuimarisha usalama wa namna ya kusafirisha wanafunzi na watoto wadogo. Mfano Mjadala wa 1. Aina ya magari ya kusafirisha watoto au wanafunzi...
  2. T

    Majukumu mazito ya viongozi wa kisiasa Vs sifa zao za kielimu

    Kwa mtizamo wangu kundi la wanasiasa hasa wabunge, mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya nk wana majukumu nyeti na mazito mfano; 1. Kurekebisha na kutunga sheria za nchi na mara nyingi inahitaji analytical skills za hali ya juu 2. Kutafsiri sheria na kuzifanyia kazi 3. Kuwakilisha nchi...
  3. T

    CUF ya Maalim Seif (Mtatiro) yamjibu Prof. Lipumba juu ya kumsimamisha kazi Katibu Mkuu

    Jamani kwa nini Lipumba asimchokoze gwajima ili apate Tiba na kutulia?! aibu ya mwaka hii
  4. T

    Uvamizi wa Gambia, umezidi kuipunguzia Afrika heshima nje ya Afrika!

    Rais wa Zamani wa Gambia ambaye inaaminika hakushinda kwa kura za wananchi katolewa kwa nguvu za kijeshi la ECOWAS na Rais mteule kaapishwa rasmi! Key lessons 1. Hakuna kinachozidi nguvu ya umma popote pale 2. East African Community ina jambo la kujifunza hasa kwa Burundi! Kwa nini EAC...
  5. T

    Siasa za Tanzania na hatima ya elimu! Kilio na majanga!

    katika hili sitegemei Wadau wa elimu waendelee kuwa kimya kwani tutakua hatusaidii Maendeleo ya nchi yetu hata kidogo! Tanzania ya viwanda inawezekana bila elimu bora?!
  6. T

    Siasa za Tanzania na hatima ya elimu! Kilio na majanga!

    Ni dhahiri Kila mtu anajua Elimu ni ufunguo wa maisha! Lengo la serikali yeyote ni kutengeneza mazingira wezeshi ili watoto wapate elimu bora! Kwa mtizamo wangu misimamo gongana ya kielimu ni ifuatayo; 1. Hivi karibuni kamishna wa elimu ametangaza ni marufuku shule zote zile na serikali au...
  7. T

    Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara

    penda tusipende kuna njaa na ukame wa hali ya juu
  8. T

    Suluhisho la kudumu kupunguza tumbuatumbua ya mara kwa marara

    kabisa hata nami naamini hivyo
  9. T

    Suluhisho la kudumu kupunguza tumbuatumbua ya mara kwa marara

    Pamoja na Kupongeza ujasiri na uwezo wa Rais kufanya maamuzi ila nashauri vifanyike vifutavyo kupunguza tumbuatumbua ya mara kwa Mara 1. Umuhimu wa kurekebisha mufumo (systems )badalaya kudeal na watu individually! njia mojawapo ya kutatua hili ni kuwa na katiba inayoendana na mahitaji ya watu...
  10. T

    Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

    Tiba ya kwanza waache kutumika kisiasa! Pili wasitishiwe ruzuku ili wajiendeshe kisiasa!
  11. T

    Waandishi Arusha wagomea mkutano, kudai uhuru wa mwandishi wa ITV

    I wish it was a National mass media movement to address the situation!
  12. T

    Uchochezi wa kidini star Tv ni kwa maslahi ya nani?

    well said ila hili lisiooangaliwa kwa umakini Kila dhehebu likaamua kujibu mashambukizi kwa mass media hatutaishia pazuri! So vizuri kupotosha mafundisho na Kama hurlewi vizuri seek information zaidi! Mungu ni mmoja na dini ilivyo ya ukweli ni upendo ila hiyo isiwe kigezo cha kukashifu dini na...
  13. T

    Uchochezi wa kidini star Tv ni kwa maslahi ya nani?

    kwani hamuwezi kupata waumini bila kukashifu madhehebu mengine? Kama watoa mada wanajiamini kwa nini wasingekuwa na watu wa upande wa pili for more clarification kuwa na balanced information! Amani na umoja wetu wa kitaifa ni muhimu kuliko chochote
  14. T

    Uchochezi wa kidini star Tv ni kwa maslahi ya nani?

    sasa Kama ni mahubiri ya wasabato kwani wapotoshe?! "kanisa katoliki linamtambua papa kwamba ni Mungu"... huyu ni mwakilishi wa Mungu na papa wa kwanza ni Petro Mwenyewe!Je na wakatoliki wakiomba kipindi kuchambua ya wasabato in such a way what could happen?
  15. T

    Uchochezi wa kidini star Tv ni kwa maslahi ya nani?

    Kwa karibu dakika 10 leo hii nimekuwa nikiangalia mtoa mada start Tv akichambua utawala wa Roma Catholic (upapa na upadri)kwa kupotosha ! 1. Je anafanya huu upotoshaji kwa maslahi ya nani? 2. Je start Tv haijui watazamaji wake ni wa madhebu na imani mbalimbali na itakuwa inawagawa? 3. Kanisa...
  16. T

    Ufafanuzi wa kutumbuliwa Dr. Mwele na kuhusishwa na Waziri Ummy

    can I believe this was the right information following a wrong channel? if so ni kweli ugonjwa upo au haupo? je onyo lisingetosha Kama adabu kwa kosa Hilo? replacement imefanyika within hours je have we done enough investigation investigation to the newly appointed
  17. T

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Sina hakika Kama wamequote vizuri but Kama ni nchi ya Kenya tu ndo inayotegemea kujenga viwanda Tanzania basi twaweza kuwa na wakati mgumu! Swali(Rioba): Unasisitiza uchumi wa viwanda, Tanzania imeshawahi kuwa na viwanda vikafa, kuna watu wanaona hili swala waachiwe watu binafsi, wewe...
  18. T

    TWAWEZA, acheni kutufanya sisi watanzania ni wajinga

    haha! Kama Tafiti zinafanywa na maprofesa wa aina ya L.... unategemea nini? haha! Kupatwa kwa tafiti
  19. T

    Harufu ya ufisadi kwenye ulipaji wa fine za makosa barabarani

    ukiuliza mara kitabu kiko kimoja or mara vimeisha au ooh nenda kafate kituoni! Risiti ni haki ya Mteja ili tuendelee kuchangia serikali yetu
Back
Top Bottom