Majukumu mazito ya viongozi wa kisiasa Vs sifa zao za kielimu

Transparence

Member
Sep 23, 2016
22
13
Kwa mtizamo wangu kundi la wanasiasa hasa wabunge, mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya nk wana majukumu nyeti na mazito mfano;

1. Kurekebisha na kutunga sheria za nchi na mara nyingi inahitaji analytical skills za hali ya juu
2. Kutafsiri sheria na kuzifanyia kazi
3. Kuwakilisha nchi kimataifa katika mikutano na makongamano na inahitaji uwezo mkubwa wa fikra na uchambuzi wa mambo pamoja na language fluency
4. Kusaini mikataba mbalimbali kwa niaba ya nchi na eneo hili inaaminika kuna makosa mengi yamefanyika
5. Kujenga hoja za kukosoa, kurekebisha na kuikosoa serikali

Je, ni kweli kigezo cha kujua kusoma na kuandika tu kinashabihiana na majukumu yao?
 
Back
Top Bottom