Suluhisho la kudumu kupunguza tumbuatumbua ya mara kwa marara

Transparence

Member
Sep 23, 2016
22
13
Pamoja na Kupongeza ujasiri na uwezo wa Rais kufanya maamuzi ila nashauri vifanyike vifutavyo kupunguza tumbuatumbua ya mara kwa Mara

1. Umuhimu wa kurekebisha mufumo (systems )badalaya kudeal na watu individually! njia mojawapo ya kutatua hili ni kuwa na katiba inayoendana na mahitaji ya watu preferably katiba ya Warioba

2. Pamoja na kwamba semina elekezi zinagharimu fedha ila pengine tumbua tumbua ikawa igharimu taifa zaidi! Ni vizuri viongozi walioteuliwa au kuchaguliwa wakaelimishwa majukumu, uwezo na mipaka yao na zaidi kujua Rais anategemea nini toka kwao!
 
Back
Top Bottom