Search results

  1. S

    Naomba msaada wa ushauri kuhusu MABOTO microfinance

    Ninashida ya mkopo kwa ajili ya kuendeleza biashara zangu na sikuwahi kukopa taasisi yoyote ya kibenki lakini kwa sasa nahitaji mkopo. Nimetembelea taasisi za kibenki tatu lakini kuna masharti magumu sana na wengine kama CRDB hawakopeshi kabisa mpaka sasa. Nimekutana na taasisi binafsi iitwayo...
  2. S

    Looking for wife from any East African -country

    Hi ladies, nahitaji wife umri kati ya miaka 20-30, dini yoyote ile na kabila lolote, as long as npo JF most of my time, I hope hata wife nitapata hapa hapa JF. +255621031241
  3. S

    HESLB hamuwatakii mema watanzania wanyonge na wazalendo wa nchi yao licha ya ukata mlionao

    Ninafaham ya kuwa Mh.JPM unapitia sana threads zetu, kwahili wanalopanga kufanya HESLB kwa kuongeza kiwango cha makato ya mkopo kutoka 8% iliyopo sasa mpka 15% ni lengo la makusudi kuumiza watanzania wazalendo walioamua kuilipa serikali. Naongea haya kwa huzuni na masikitiko makubwa tena kutoka...
  4. S

    Je, unajua maana halisi ya Electoral College inayotumika kuchagua Rais Marekani? Jifunze

    Napata shida kufanya tathmini kwamba Hillary Clinton alishinda majority votes kwa tofauti ya kura zaidi ya laki moja, lakini swala la electoral votes yenye idadi ya 270 votes bado sijaelewa vizuri na nina hakika Watanzania wengi hawafahamu zaidi ya kushabikia tu. Sisi tusioelewa lakini...
  5. S

    Ni wakati mgumu zaidi kwa waziri wa fedha.

    Umekubali lawama zote, umekubali kuonekana kilaza zaid ya vilaza wote wa kijani. Kumbuka wewe ni kafala tu leo hii hata ma MP wa kijani wanakupuuza nani a5akuprnda mzee Mpango? a.k.a wa mipango. Ebu kubali lawama ujiuzuru hio nafasi kuliko fedheha hii Mh. WAZIRI WA MKWANJA.
  6. S

    Mh. Jaji Lubuva amewaza nini?

    Naleta kwenu ilituweze kujadili kwa pamoja, Mh. Mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi NEC ameyatoa ya moyoni akikosoa mfumo mzima wa tume ya taifa ya uchaguzi yaani NEC, nina maswali mengi ya kumuuliza je? …Hakunaliona hili kabla ya uchaguzi mkuu uliopita? …Atawezaje kuleta mabadiliko ya...
Back
Top Bottom