Search results

  1. koo

    Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

    habari mkuu, natamani sana kupata mrejesho wako kwenye hili sio kujua kama unauchungu au huna umepata hasara au hujapata la hasha napenda kujua nikweli kabisa hukuona hii kama utaperi na nini hasa kilikusukuma uione kama kitu kizuri ni nyalaka za usajiri na uwepo wa ofisi na watu wa mwanzoni...
  2. koo

    Serikali yapiga marufuku shule binafsi kufanya mitihani ya kuchuja wanafunzi

    wewe ndio hujaelewa maana ya mitihani ya mchujo. mitihani ya mchujo hutolewa dalasa la nne na kidato cha pili na husimamiwa na balaza sasa wewe kama unawalimu wazuri na maktaba safi hofu ya nini fundisha ngojea kidato cha nne ataye pata sifuri hawezi laumu shule yako atajilaumu mwenyewe sio...
  3. koo

    Serikali yapiga marufuku shule binafsi kufanya mitihani ya kuchuja wanafunzi

    jogi fikiri upya kama unaona shule yako niyavipanga chuja wakati wa kuwachukua ukisha wachukua ngojea mtihani wa kidato cha pili uchuje sio unachuja kila mwaka na kufukuza watoto bila sababu hata shule za vipaji maaalum zilichuja wakati wa udahili sio kidato cha kwanza kwenda cha pili. hizi...
  4. koo

    Rais Magufuli anajua CRDB na NMB ni benki za umma?

    kikubwa mnachogoma kuelewa nikwamba serikali imechukua pesa zake ili iepuke kukopa kwa benki za kibiashara nakuingia gharama kubwa ya riba kuliko faida inayo patikana. pesa zimewekwa BOT ili serikali iweze kuzikopa bila riba yoyote huku taasisi zikiitaji zirudishiwe kwa matumizi husika ya bajeti yao
  5. koo

    Muongozo kuhusu mikoa na mazao

    habarini wakuu, naomba kupata muongozo wapi naweza kupata maelezo ya kina kuhusu hali za hewa za mikoa ya Tanzania na mazao yanayoweza kustawi katika mikoa husika. napenda kupata takwimu za kitaalam na sio uzoefu na wenyeji wa mkazi wa mkoa husika.
  6. koo

    Series ya American Odyssey

    Heshima mbele wakuu. Naomba msaada jinsi ya kudowload series ya American Odyssey. nasikia ninzuri sana ila nimejaribu torrent site zote nimekosa mwenye ujuzi tafadhali naomba msaada
  7. koo

    Nawezaje kutoa Triangle Trail Ads

    kwenye PC mkuu kcamp.
  8. koo

    Nawezaje kutoa Triangle Trail Ads

    Heshima mbele Jamani naomba msaada crome yangu inasumbua kila page ninayosumbua inajaa hizi Triangle trial ads ambazo zinanifanya nishindwe fanya kazi kwa haraka naombeni msaada wa kuziondoa.
  9. koo

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    uila imezoeleka kwa wagombea wa chama tawala kukimbia hasa 2010
  10. koo

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    2010 mlizuia hadi wagombea ubunge kwenda kwenye midahalo mkamfukuza kazi dido kwa kugoma kusimamisha midahalo je sababu zilikuwa unazozitaja au?
  11. koo

    Hofu ya Lowassa kuhusu mawakala wa CHADEMA wa kuhesabu kura

    kazi unayo ila usihofu utapumzika oct 25
  12. koo

    Nyaraka: Kashfa ya Richmond - Maagizo ya Lowassa na Uamuzi wa Serikali

    hadi kufika oct hakuna kitakacho baki kuwa kitendawili katika sakata hili
  13. koo

    Pinda, Bilali na Sitta jipimeni wenyewe

    Kingunge kasema maneno ya kweli kabisa watu wengi walishindwa kutafakari hayo sababu walishabikia kukatwa kwa lowasa ila kimsingi mchakato haukuwa wa haki ukichukulia mfano wa lowasa kutokuwemo kwenye kinyanganyiro je wangeendesha mchakato kwa uvunjifu huu wa taratibu? Hapa hatubishanii...
  14. koo

    Nini kinaendelea kati ya spika na John Mnyika?

    unaweza elezea kwa kina zaidi kwa faida ya wasio jiran na luninga
  15. koo

    Nini kinaendelea kati ya spika na John Mnyika?

    Toa habari kwa kina sio wote tunatizama sahivi elezea kinacho endelea
  16. koo

    Lowassa ashindwa kwendana na kasi ya Kinana Jimboni kwake

    sijapata majibu lowasa anawatisha nini. mwenye maamuzi ya nani awe rais sio mashabiki wa lowasa ila niwatanzania walio wengi. yote haya yanasemwa sababu lowasa anaonekana kupendwa na watanzania walio wengi embu tumpumzishe tungojee maamuzi ya watanzania hayo mambo ya tofali na jembe hayana...
  17. koo

    Nadharia tatu zitakazo mtoa Lowassa kwenye mbio za urais-2015

    Ukikosa unachokipenda basi unalazimika kupenda ulichonacho. Tanzania kwasasa tunapenda 2015 kupata kiongozi wakusadikika ambaye kimsingi wenye nafasi ya kushika dola hawana hiyo sifa hivyo nashauri tujipange kupenda tulichonacho na kimsingi lowasa ni zaidi ya wapinzani wake kwa kukuepushia...
  18. koo

    Kafulila: Tuiombee CHADEMA

    Umenena vyema sana
Back
Top Bottom