mimi ninaitwa BENJAMINI MPOKI ELIA nimesoma BAED ninajua kutumia kompyuta na kiingereza naongea vizuri ninatafuta kazi kiwandani au kwenye kampuni binafsi ninaomba mnisaidie ndugu zangu atakayenisaidia kupata kazi nitampa 100,000 kama shukrani namba zangu ni 0653707517 na 0687076051 na 0769917508
Mimi ni kijana wa miaka 31 ni mkristo nakaa mtwara vjjn nahitaji mke awe anakaa mtwara awe mkristo umri kuanzia miaka 18-28 kwa mawasiliano zaidi karibuni Pm
Kwa jina ninaitwa BENJAMINI ELIAH ninahitaji mchumba ambaye atakuwa mke wangu sifa zake Awe mkristo, .Awe mweupe, Awe na umri kuanzia 18-25, Awe mvumilivu, urefu asizidi ft 5.2 Kwa taarifa zaidi na mawasiliano tuchat kwa Private Messages(PM)
Mimi ninaitwa Benjamini Mpoki nimesoma BAED pale stemmuco nilimaliza 2015 masomo yangu ya kufundishia ni geography na kiswahili pia naweza kufundisha english medium schools vizuri na kwa ufanisi mkubwa nipo mtwara vijijini kwa mawasiliano zaidi 0653707517
Nimesoma BAED ninauwezo wa kutumia kiingereza vizuri na ninapenda sana kufundisha ENGLISH MEDIUM SCHOOLS. Natafuta Kazi kufundisha ENGLISH MEDIUM SCHOOLS nipo mbeya 0766971149
Habari za muda huu wana JamiiForums,
Ninaomba ushauri kwenu na uthibitisho kwa anayejua kama WEZESHA FOCUS VICOBA wanatoa mikopo kweli? Maana mimi nataka kuweka akiba na nikope mkopo ili kuanzisha biashara yangu.
Naombeni ushauri na uthibitisho kwa anayejua kama Wezesha Focus Vicoba wanatoa mikopo kweli. maana mimi nataka kuweka akiba na niombe mkopo WEZESHA FOCUS VICOBA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.