Search results

  1. anayo

    Kifimbo cha Nyerere kapewa mbowe?

    :A S embarassed::A S embarassed:
  2. anayo

    Nimefiwa na Mama yangu usiku wa kuamkia 19.11.2011 na kuzika jana.

    Pole sana ndugu yangu ,pole sana ,Duniani tunapita,kilakitu kitabkia
  3. anayo

    Leo nimetoka hospitali.

    Hongera kwa kupona ,pole kwa maumivu uliyo yapata,karibu sana
  4. anayo

    Sisi ndio wanaume bwana!

    Mwanaume ,hajisifii majukumu,mwanaume hakumbushwi majukumu ,mwanaume hakimbii majukumu,Mwanaume ndio msimamo wa imani ya familia yake
  5. anayo

    Italy wameunda serikali mawaziri wote 16 ni wana taaluma

    Selikali inayo jitegemie ,wabunge waio mawaziri,wala hawapo katika bodi aina yoyote hiyo,ndio nzuri maana hakutakuwa na kuoneana aibu katika utendaji wa kazi siku zote,kulio serikali hii yetu ,wewe mwenyewe mbunge,alafu ni waziri,nani atakaye muhoji mwenzake sasa?
  6. anayo

    Kikwete kuongezewa miaka miwili?

    Mwanahapa Isaack,nimefurahi sana Tosa boy wangu ulivyo kuwa makini ,kwani nia yako haijaanzia hapa tangu enzi za mwapinga,Fyudo na charwe ulikuwa kipaumbele katika haki,umeonge jema kaka,mpango wa maandamano vp?upo tayari kaka au?
  7. anayo

    Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

    Kwani kibonde elimu yake iko vp?
  8. anayo

    This is why all mama mean nothing to some people!

    Pole sana kaka,watu wengi wanasumbuka na maumivu,ya namnambali mbali,hilo kwako pia ni umivu,ulilo umizwa na mama yako,kusamehe na kusahau ni jambo muhimu zaidi,kwani litakusaidia kukuondolea hayo maumivu uliyo nayo kaka yangu,usipo samehe utabaki katika hiyo hali ,ni ngumu lakini Muombe Mungu...
  9. anayo

    Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

    Tanzania ,Tanzania nchi yangu yenye maziwa na asali ,nakupenda sana,nawapenda wana nchi wenzangu,ila naumizwa na selikali yangu ambayo haingalii maslai ya Taifa lake na wananchi wake,tupo pamoja wakubwa katika maandamano
  10. anayo

    Katiba: Saa 72 za matumaini au huzuni kwa watanzania

    Nchi iogozwayo na waroho wa madaraka ni hatari,ni hatarai kwa tuliopo na vizazi vijavyo,shida kubwa wengi wa viongozi wetu wanafikiria juu ya matumbo yao,ni vp wataendelea kupata ulaji baada ya miaka 25 ijao,that's way wanatafuta sheria ambazo zitawanafufisha wao na chama ,ili kidumu,so its...
  11. anayo

    Benki ya NMB Bukoba yaporwa mili 60 kwa mtandao, wana ICT mpo?

    Kazi zingine zinahitaji watu waaminifu,kutokana na mambo unayo yapita katika huo ufundi wa IT,mbali na kuiba hela wanaweza kuiba hata documents muhimu sana tena nyeti,na kuziachia hadharani,Elimu ya kompyuta inahitajika sana hasa maswala yasecurit katika mtandao wa kompyuta
  12. anayo

    Arusha kupandisha Bendera yake?

    Kujitenga sio suruhu,mwandishi haja maanisha kujitenga,swala ni haki iwepo katika Tanzania na wananchi wake pasipo kujali kabila na dini
  13. anayo

    Itakuwa Vipi kama Jamii Forums ita......

    Itakuwa vp kama wewe mwenywe usiwepo katika hili jamvi,:kila kitu kina wakati wake,mambo huja n akupotea,huja mengine mazuri pia
  14. anayo

    UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

    Tatizo hasa ni kitu gani?suluhisho la migomo ni kuwapiga wanafunzi mabomu kweli?
  15. anayo

    Wife

    Bettery low, wengine wanaweka hayo majina kama mke hajui ,simu iitapo anaweka katika chaji ya umeme.Hali ni mbaya:::
  16. anayo

    ndoa inanishinda nipen mawazo yenu

    Dada yangu pole sana ,kwanza sali sana kwa mungu kwa kumwombea toba mumeo kama kuna vifungu vya ibirisi vilivyo mfunga Mungu amfungue,omba toba pia kwa ajili yako,pili mwanamke ni msimamo usibabaishwe na na hali yake ya uchumi bali mueleze kuwa unakerwa na tabia yake ya UMALAYA, Usiache kumpenda...
  17. anayo

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Kuna Miungu wengi hapa tuliupo duniani,vema akatupa uthibitisho ni Mungu yupi ambaye ame mpa hiyo ndoto,
  18. anayo

    Babu wa Loliondo afungiwa kwa muda kutoa huduma...

    Mwanadamu ana njia nyini za kuuliza au kuuamini ukweli wa jambo fulani,sas ndugu mbona unazunguka sana,wewe nenda tuh,kama una amini nenda kama huaminibasi basi usiende ,usitumie kisingizio cha kusema kuna njia nyingi za kupata utajiri.
Back
Top Bottom