Benki ya NMB Bukoba yaporwa mili 60 kwa mtandao, wana ICT mpo?

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Habari za hivi punde ni kuwa Baadhi ya wajanja wa Mambo ya ICT katika benki ya NMB Bukoba wameiba sh milioni zaidi ya 60.Kwa sasa benki imwefungwa wakijaribu kuona kama wanawweza kupata fedfha hizo.

Habari iko hivi.
Fedha hizi zimeibwa kupitia kitengo cha mikopo cha hii benki na kwamba Uongozi wa benki ulikuwa ukibadilisha mfumo wa computer kutoka mfumo A kwenda mfumo B ndipo wajanja walipotumia mwanya huo kuamisha fedha hizo kiulaini.

Benk imefungwa,wateja wapo wanasota .

Je kumbe ICT ina madhara makubwa kama haya,wataalam wa ICT jamani tumieni utaalam wenu kwa mambo yenye manufaa?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
ICT ... Professionals Pls hope you wont mind ... tuelezeni how could that really happen .. with or without conspiracy!!
 
Sehemu kama bank ilitakiwa kabla ya zoezi la kubadili mfumo wa kompyuta, activities zote zisimamishwe. Kama hilo halikufanyika basi huyo mtaalamu wa ICT amehusika moja kwa moja na wala wasihangaike kutafuta mchawi!
 
Kazi zingine zinahitaji watu waaminifu,kutokana na mambo unayo yapita katika huo ufundi wa IT,mbali na kuiba hela wanaweza kuiba hata documents muhimu sana tena nyeti,na kuziachia hadharani,Elimu ya kompyuta inahitajika sana hasa maswala yasecurit katika mtandao wa kompyuta
 
Aiseeeeeee mmenikumbusha wakati niko FINCA wakati zoezi la kufanya 'arrears clearance' du tulipiga hela ndefu kishenzi. Lakini wapi bwana kisicho ridhiki hakiliki......teteteteteteeeeee! Yaani unarudi na laki tano kwa siku, kesho unaambiwa nyumba imeezuliwa paa na upepo, basi hela yoooooooooooooooooooote inaenda kukarabati kibanda, Mungu ana mambo wazeeeeeeeeeee! acha tu
 
ni rahisi sana ukijua mchezo huo.....IP sniffing and Spoofing.....huu mchezo umefanyika hata juzi TCU...kama security yao ilikuwa poor then ni rahisi sana hivi vitu kufanyika...
 
sasa haya maATM card yao so ndo yatatutia umasikini jamani. maana mie nlisikia mtu akiamua anakaa tu nje ya atm na kama akiweza kupata codes za atd secret number yako, kiulaiiini anaenda kutengeneza card kama hiyo then anakuja kutoa hela kwa akaunti yako. si tutafiliska kwa mtindo huu,mweeeeeeee
 
ni rahisi sana ukijua mchezo huo.....IP sniffing and Spoofing.....huu mchezo umefanyika hata juzi TCU...kama security yao ilikuwa poor then ni rahisi sana hivi vitu kufanyika...

Nini kulifanyika TCU?? tuje maana nahisi nimeathirika na haka kamchezo ka TCU
 
Tuelimisheni jinsi unavyoweza kutokea na jinsi ya kuzuia,itakuwa ni nzuri kutumia jukwaa hili kuwaelimisha wana JF
 
Aiseeeeeee mmenikumbusha wakati niko FINCA wakati zoezi la kufanya 'arrears clearance' du tulipiga hela ndefu kishenzi. Lakini wapi bwana kisicho ridhiki hakiliki......teteteteteteeeeee! Yaani unarudi na laki tano kwa siku, kesho unaambiwa nyumba imeezuliwa paa na upepo, basi hela yoooooooooooooooooooote inaenda kukarabati kibanda, Mungu ana mambo wazeeeeeeeeeee! acha tu

Wewe utashikwa we jidanganye tu yaani unasema hadharani wizi wako??
 
sasa haya maATM card yao so ndo yatatutia umasikini jamani. maana mie nlisikia mtu akiamua anakaa tu nje ya atm na kama akiweza kupata codes za atd secret number yako, kiulaiiini anaenda kutengeneza card kama hiyo then anakuja kutoa hela kwa akaunti yako. si tutafiliska kwa mtindo huu,mweeeeeeee

wale raia wa bulgaria (akama sijakosea) ndo walikuwa na kifaa maalum kilichokuwa kinafanya mchezo huo....
 
CCM utawajua tu, mawazo yao yote ni wiziwizi tu.
Aiseeeeeee mmenikumbusha wakati niko FINCA wakati zoezi la kufanya 'arrears clearance' du tulipiga hela ndefu kishenzi. Lakini wapi bwana kisicho ridhiki hakiliki......teteteteteteeeeee! Yaani unarudi na laki tano kwa siku, kesho unaambiwa nyumba imeezuliwa paa na upepo, basi hela yoooooooooooooooooooote inaenda kukarabati kibanda, Mungu ana mambo wazeeeeeeeeeee! acha tu
 
ni rahisi sana ukijua mchezo huo.....IP sniffing and Spoofing.....huu mchezo umefanyika hata juzi TCU...kama security yao ilikuwa poor then ni rahisi sana hivi vitu kufanyika...

yes Edson. Nashangaa vitu kama vitatu hivi. Kwanza inakuaje wameibia Bukoba na sio makao makuu, si kwamba server inayohusika na hizo transactions iko Dsm? Pili, ni aina gani ya Database jamaa wanatumia. Mimi ni mtaalamu wa Oracle Database, iko very secure unless DBA wao kavujisha au amefanya very weak configurations. Tatu, kwa taasisi za fedha kama hizi walipaswa kua na mtu wa Security aliebobea mambo ya Ethical Hacking kwa ajili ya kuhakikisha usalama wa network nzima. Hao crackers wamepita firewalls mpaka wakafika ktk server na kuhamisha mzigo hvi hvi tu?!
 
kwa mujibu wa mleta hoja inaonekena NMB kuna uzembe mkubwa sana.....security yao iko very poor tena sana tu...
 
Back
Top Bottom