Wazo butu sawa na kununua mbuzi kwenye gunia!
Navyo wajua wandishi wa habari wetu wa bongo walivyo wavivu kufuatilia masuala katika chimbuko lake na mwisho wanaishia kuandika vichwa vya habar vyenye kuvutia kumbe ndani pumba
Unakuta story haieleweki halafu ni nje kabsa na mada andikwa pale juu
Nachokiona kati ya jpm na RC ni vita kati ya upinzani na serikali ya jpm hicho ndicho kinampa kiburi mhe. Rc maana mkuu wa nchi hawezi kuchukua hatua japokuwa rc kaharibu ili mradi tuu awakomoe wapinzani wake
Nawala siri moja katika mafuta
Mafta yana tabia ya kusinyaa na kutanuka
Wakati wa joto mafta hutanuaka na wakati wa baridi mafta husinyaa
Hivyo basi kwa ww unaetaka kununua mafta nakushauri nenda sheli wakati joto limepungua yaani ucku
Kwahyo unaweza kupima mafta kwenye joto ukaona...
Jamani nataka kujua suala madereva walio tekwa nyara huko congo na mai mai wamesha achiliwa na kama wameachiwa nn kitaendea juu ya kundi hilo??
By
Mzalendo
Pesa za kodi hukatwa kutokana na mapato yako "pay as you earn" hiyo hairudishwi baada ya kuacha kazi lakin makato ya ppf na nssf ile ni akiba yako ya badae lazima irudishwe baada ya kuacha kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.