Search results

  1. M

    Bado nazidi kuona makosa makubwa kwenye usajili wa Simba. Kwa mwendo huu mashabiki jiandaeni maumivu tena na tena 2023-24

    Hatuwezi kuweka michango ya maana huku dirisha bado halijafungwa, hatujui nani anaweza kuondoka nani anaweza kuingia, inawezekana ilo eneo unalosema tayari usajir ushafanyika sema hajatangazwa, na inawezekana kuna watu washaondoka sema hawajatangazwa, cha muhimu ni kusubiri usajir umalizike
  2. M

    Simba SC washindwa kumpa "Thank you" Sawadogo kutokana na masharti ya mkataba

    Mimi naamini kwamba Sawadogo ni mchezaji mzuri sana, shida ni match fitness na kuzoea league, kama hatabaki Simba atakuja kuprove watu wrong, tunza hii comment
  3. M

    Simba tunataka kurudia kosa lile lile

    Kanoute na Mazimiru wote ni pure box to box midfield, hatuna namba 6 halisi, hatuna holding au hata playmaker wa chini
  4. M

    Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

    sijawahi fanya sherehe za graduation, kwa ngazi zote za elimu nilizopitia, nina bachelor degree
  5. M

    Hivi kuna Dua kwa mtoto wa kike inafanyika usiku?

    Ningependa kujua una umri gani, halafu ndio nitachangia
  6. M

    Tatizo la simu fake Kariakoo kwanini vijana tusijiingize kwenye hii biashara tusaidie watanzania wenzetu wanaolizwa kila siku?

    Kwa mjuaji wa simu ni rahisi mno kutambua kati simu original na fake, tena kwa kuishika tu
  7. M

    Ni biashara ipi ndogo sana uliifanya ikakufikisha kwenye mafanikio makubwa?

    Mimi nafanya ya chips, sijaanza muda mrefu, nimemuweka wife asimamie kama biashara yake, kwa siki analaza sio chini ya 20, weekend kama jumapili analaza hata 60
  8. M

    Yanga vs Mbeya city live: 13/9/2020

    Watu wa Yanga tupeni updates za mechi yenu, mbona umeukimbia huu uzi, ila najua mkipata goli mtarudi wengi sana
  9. M

    Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

    Unahama team kisa chaguzi za uongozi!, shabiki haami team hata siku moja, unaweza usikubaliane na yanayoendelea kwenye uongozi, ila huwez hama team kama ni shabiki wa kweli
  10. M

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Hii team haijulikani jezi ya mazoezi ni ipi, ya mechi ni ipi
  11. M

    Vurugu ya mashabiki wa Yanga

    Sio vibaya nikajua, pia kama kuna hatua zimechukuliwa itakuwa vizur sana
  12. M

    Vurugu ya mashabiki wa Yanga

    Unaweza kuniambia ni hatua zipi zimechukuliwa
  13. M

    Vurugu ya mashabiki wa Yanga

    TFF tamko peke yake kuhusu kitendo walichofanya mashabiki wa Yanga halitoshi, hili tukio mnaweza kuliona ni dogo sana, ila tukio hili ni kubwa mno, tunapelekana pabaya, bila mashabiki wa Yanga na club ya Yanga kupewa adhabu, mashabiki wa Simba watakuwa na hali ya kulipiza kisasi na kwa umati wa...
  14. M

    'Injinia' Hersi Said wa Yanga SC na GSM yako ni lini utaacha 'Uwongo' wako na kupenda 'Kuwadanganya' mno wana Yanga?

    Ila wakati mwingine uache kutetea ujinga, me mwenyewe leo nimemsikia akisema wamemtoa Polokwane na wa Maurid akauliza kwa kukazia kwamba wamevunja mkataba na jamaa akaitikia, jamaa amekuwa muongo muongo siku hizi
  15. M

    Mashabiki Simba turuhusiwe kumuongezea mshahara Larryy Bwalya

    Nadhan kwangu mimi Fabregas alikuwa bora zaidi kwenye pasi za namna hiyo
  16. M

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Dez nuhhnr3bzbyhhhhhssasd3&sd
  17. M

    What's your favorite movie line/quote?

    What do we say to the God of Death? Not today Sent using Jamii Forums mobile app
  18. M

    Cloutus Chama anaondoka Simba

    Hebu tutajie huyo mchezaji bora kuliko chama katika hiyo namba yake Sent using Jamii Forums mobile app
  19. M

    Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

    Ugonjwa wenyewe mafua tu, wenye afya nzuri, na wasio na matatizo mengine ya kiafya wanapona vizur tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom