Search results

  1. J

    Formula ya chakula cha Mbwa

    Okey nasubiri
  2. J

    Formula ya chakula cha Mbwa

    Plz Msaada mwenya kujua mchanganyiko mzuri wa chakula cha mbwa ili niweze changanya mwenyewe
  3. J

    Msaada kwa kisheria wa kuingia ubia na muwekezaji

    naomba msaada kuna muwekeza anataka kuingia ubia ameniandikia hivi sasa nifanyaje would like to have separate partnership agreements with each of them (need to work with lawyer there) to form the beginning of a well-diversified investment portfolio hiki ni kipande ambacho nahitaji msaada
  4. J

    Msaada juu ya kumonitor network kwa user kwenye office

    Naomba msaada wa kupata software amboyo itaniwezesha ku control user katika matumizi ya mtandao internet ili niweze kutambua mtu mwenye matumizi makubwa niweze kulimit.
  5. J

    Juu ya mwanamke bikira na kupata mimba

    Natakuliza shuklan za dhati naomba kuuliza kitaalam mwanamke bikira anaweza kupata mimba iwapo amefanya mapenzi lakini mwanaume akamwaga mbegu kwenye uke bila kumtoa ile bikira yake? Naomba kuwasilisha wadau
  6. J

    Now nashusha mzigo kwa pd proxy

    napataje hiyo activetion ya pd prox
  7. J

    Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    ndugu mbona inakataa kwangu inaandika hivi tatizo nini "There is problem parsing the package"
  8. J

    Naomba msaada wa sheria ya ndoa

    hapo kaka umenisaidia nimekuele sana
  9. J

    Naomba msaada wa sheria ya ndoa

    kaka sijafunga ndoa ila nimetoa mahali
  10. J

    Naomba msaada wa sheria ya ndoa

    ndio mkuu hakuna ndoa ila kinacho nishangaza huyu mwanamke anaongelea talaka sasa nilitaka kujua labda kisheria yuko sahihi au la
  11. J

    Naomba msaada wa sheria ya ndoa

    haijafungwa ndoa ni mahali tu ndio iliyotolewa ndoa haikufiwa
  12. J

    Naomba msaada wa sheria ya ndoa

    Hivi ukimtole mwanamke mahali na umezaa nae baada ya hapo mkakosana na kutenge je anahaki ya kuomba talaka? na kuhusu mtoto ninahaki ya kumchukua baada ya muda gani mtoto mwenye now ana mwaka mmoja.naomba kuwasilisha
  13. J

    Egypt football violence kills 73!!!

    jamani naomba mijuze nini kimetokea huko coz nasikia watu wamekufa i dont knw wht happen mwenye data amwagike jamani
  14. J

    Mwanasiasa gani Tanzania mwenye mvuto namna hii?

    Hivi kweli kuna mtu Hafahamu kuwa Dr Slaa ndie mtu aliyechaguliwa na sir God kuokoa Taifa Hili.lakini wakachakachua sasa wanakiona chamoto vichwa chini nafsi zinawasuta na aibu juu nyuso zao hazina tabasamu tena leo tanzania (uchumi unakufa siku za usoni,kulipa kampuni hewa kama dowanc,bala la...
Back
Top Bottom