Dah ila timu yetu Imeshabadilika tamaduni yetu ya fergie imeondoka itatuchukua miaka kama liverpool kuja kurudi tusifurahi tu haya mausajili mourihno siyo kocha
Post sent using JamiiForums mobile app
mbona Rahisu sana maji ya bahari yenyewe hutokana na na vyanzo vingi kama mvua na mito ila maji ya bahari huondoka kipindi cha jua kali kwa mtindo wa mvuke na kwenda kuunda mawingu ambayo husukumwa na upepo na kwenda nchi kavu napo hunyesha tena kama mvua na kuingia kwenye vyanzo
Acha ubwege achana naye tafuta mwingine mwenye virgin maana naona upo obssesed na virgin na huyo mwingine akibakwa tafuta mwingine tena utampata ambaye hatobakwa
Anaenda kufaidi mito ya vinywaji laini na vigumu wake 92 na nguvu ya kuwashughulikia 40 kwa siku.
Jamaa anaenda faidi mwache aende alifanya kazi kubwa sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.