Search results

  1. C

    Mkuu wa wilaya ya Lushoto ni vituko kila kukicha

    Hawa waheshimiwa kuna tatizo karibu kila mahali kuna dc wa wilaya ya kilolo naye wanamlalamikia wanawasiwasi na taaluma yake naweza kupata cv yake ndg wana jf
  2. C

    Mkuu wa wilaya ya Lushoto ni vituko kila kukicha

    unashangaa hilo jaribu kumfuatilia DC KILOLO akikosa tu posho nongwa anampango wa kumfukuza afisa elimu msingi ati hakwenda kwenye selection
  3. C

    Toka mwaka 1961 mwenge haujawahi kuhairishwa

    Naomba kujua kwa maana ya hali hali si ya uchumi wa taifa
  4. C

    Toka mwaka 1961 mwenge haujawahi kuhairishwa

    Wapiganaji naomba nijifunze kuhusu dhana ya kukimbiza mwenge,toka mwenge umeanza kukimbizwa serikali sijawahi kuona inahairisha ratiba ya kukimbiza mwenge.hivi karibuni serikali imebatilisha ratiba ya kukimbiza mwenge na kwamba itakuwa inakimbizwa kwa kila makao makuu ya mkoa kwa mwaka 2011...
  5. C

    How to unlock a blackberry?

    wanajf nami pia naomba habari ya kupata housing ya blackery 8310 nipo huku iringa
  6. C

    Walimu Iringa Manispaa wacharuka!

    bado tatizo lipo serikali kuu kwani walituma walimu bila kuto apesa za kuwalipa walimu hao na hatima yake wanaanza kukopa kwenye source zingine kama vile fedha za maendeleo na ndio maana miradi huwa haikamiliki kwani serikali hiyohiyo iliyotuma huwa inaleta maagizo bila kujali kuwa hizo fedha...
  7. C

    Makontena 100 ya bidhaa bandia yakamatwa

    Kweli serikali haipo serious,hebu tazama kama tungekuwa serious kwenye items za bandari na madini nchi ingekuwa wapi.
  8. C

    Swali: CCM ni Chama Cha 'Mapinduzi' Yepi?

    Ni heri kipindi cha mwalimu mambo yalikuwa yanaenda na kiongozi aliyekuwa mkt wa ccm wananchi walikuwa wanamwamini hata akiwa anaongea wanamuelewa lakini hivi sasa,wanaccm weneyewe hawamwamini kiranja mkuu wa ccm kunasababu ya kumfanyia mapinduzi kiranja mkuu.
Back
Top Bottom