Toka mwaka 1961 mwenge haujawahi kuhairishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toka mwaka 1961 mwenge haujawahi kuhairishwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by comrade mponda, May 16, 2011.

 1. c

  comrade mponda Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapiganaji naomba nijifunze kuhusu dhana ya kukimbiza mwenge,toka mwenge umeanza kukimbizwa serikali sijawahi kuona inahairisha ratiba ya kukimbiza mwenge.hivi karibuni serikali imebatilisha ratiba ya kukimbiza mwenge na kwamba itakuwa inakimbizwa kwa kila makao makuu ya mkoa kwa mwaka 2011.
  Wazo:je mwenge ni tukio la msingi kupita kila wilaya katika mustakabali wa taifa letu au nchi imeshindwa kukimbiza mwenge kwa sababu ya ukapa
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Kwani mbio za mwenge ni msahafu usioweza badilishwa?
   
 3. s

  seniorita JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  huko ulikopita what difference did it make? Instead tunatumia gharama nyingi kukimbiza mwenge which was supposed to be symbolic...but do we even know what it represents and do we implement that which it represents? Mwenge had a significance then (during Mwalimu's leadership) but now, I think wangeiweka tu kwenye museum
   
 4. c

  comrade mponda Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kujua kwa maana ya hali hali si ya uchumi wa taifa
   
Loading...