Search results

  1. Olmorani

    Je unaweza kufa 2016 na kuzikwa 2015?

    Tofauti kati ya muda Afrika mashariki na Marekani ni saa ngapi?
  2. Olmorani

    Twaweza: 61% ya wananchi hawapati taarifa kuhusu masuala ya siasa nchini

    But hata upinzani nao naona wanazingua. Hivi wakishindwa wao kupambana na serikali kwa hoja zao,wananchi tutawezaje? Wanayo kazi ya kuhakikisha mambo yanakwenda inavyotakiwa unless watuambie lao moja.
  3. Olmorani

    Twaweza: 61% ya wananchi hawapati taarifa kuhusu masuala ya siasa nchini

    Hapa hakuna maamuzi sahihi..labda upotoshaji sahihi.
  4. Olmorani

    Twaweza: 61% ya wananchi hawapati taarifa kuhusu masuala ya siasa nchini

    Hapa lawama zote mimi nazielekeza kwa wanasiasa. Wao ndio wanajua kila kitu kuhusu taifa hili..lakini hawapo tayari hata siku moja kuweka mambo hadharani,wanatuhubiria ujinga tu sijui sisiyemu mbele kwa nyuma lakini ipo siku watu watasanuka tu.
  5. Olmorani

    Kiu hii ya kutaka kufanya mapenzi mara kwa mara ni hatari

    Kama hana kazi amtafutie, imuweke bize weee...mpaka asahau kutiana.
  6. Olmorani

    Vurugu zaibuka katika ofisi za UVCCM Arusha

    TZ bureau of sisiyemu? sinaga muda na channel za kikuda.
  7. Olmorani

    Vurugu zaibuka katika ofisi za UVCCM Arusha

    Mbona sijaiona tbc?
  8. Olmorani

    Tetemeko la Ardhi Kagera: Serikali imeonesha udhaifu mkubwa sana

    Poor tanzania bureau of ccm
  9. Olmorani

    Rai: Bangi na gongo vihalalishwe

    Bangi sawa, lakini gongo hapana kwa kweli.
  10. Olmorani

    Malawi yadai kuishtaki Tanzania kwenye Umoja wa Afrika(AU)

    Kwani lazima tufanane mawazo, any way hata likitokea la kutokea nina uhakika mchango wako uyaishia humu jf..wa kuamua wataamua babu, usijifanye unaipenda sana tz maana ni unafiki tu na kutafuta sifa. Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  11. Olmorani

    Malawi yadai kuishtaki Tanzania kwenye Umoja wa Afrika(AU)

    Sijaongea, nimeandika buana. Kwa hiyo unataka kuniaminisha kwamba bila hilo ziwa hao watu hawawezi kuishi? Huo ni uvivu wa kufikiri,Fursa zipo kamanda wacha kulemaza akili. Sina uhakika kama rasilimali za hilo ziwa zinawanufaisha hao wakaazi hisika inavyotakiwa. Sent from my TECNO-Y4 using...
  12. Olmorani

    Vurugu zaibuka katika ofisi za UVCCM Arusha

    Hii nayo ni habari?
  13. Olmorani

    Malawi yadai kuishtaki Tanzania kwenye Umoja wa Afrika(AU)

    ..[emoji2] [emoji2] tena tunayo na bahari kabisa, wangeachiwa tu icho kiziwa bana
  14. Olmorani

    TCU hatimaye yatoa sintofahamu

    Sijui tutabadilika lini aiseeh
  15. Olmorani

    QUIZ: Kama wewe mjanja unajua hesabu, jibu hapa

    Wewe nawe mburula kweli, hilo swali ndo kipimo cha kujua hesabu?
  16. Olmorani

    Malawi yadai kuishtaki Tanzania kwenye Umoja wa Afrika(AU)

    Waachiwe tu,mbona tz ina maziwa makubwa tu kuliko icho ki-nyasa
  17. Olmorani

    Zaidi Ya Watumishi Hewa 17,100 Wafukuzwa Serikalini

    Tulianza kwenye uhakiki wa mishahara hewa, kisha watumishi hewa nahisi huku tunakoelekea tutamalizia na utekelezaji wa ahadi hewa
  18. Olmorani

    Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne

    Hana lolote huyu..ukahaba tu unamsumbua,kama anataka pesa akakeshe casino maana huko ndipo atapata ela zote anataka. Najisikia aibu sana kusikia/kukuona mwanamke mzima anaandika hizi non sense, ameaibisha mama zetu Wa ki Afrika.
  19. Olmorani

    Hivi kabila lina mchango katika kupata kazi?

    Huu uandishi umekaa kichochezi sana. Chonde chonde usije kutugawa kwa misingi ya kikabila..mwl si alishakataza hivi vitu jamani?
Back
Top Bottom