Kwa kweli utendaji wa kazi wa daraja la kigamboni kwa sasa unakera sanaaa, hivi ni vitu baadhi vinakwaza:
1. Madirisha mengi, wanaokatisha tiketi madirisha ma3 tu kwa nin?
2. Watu wako slow mpaka wanakera, imagine asubuhi watu tunawah kazin msururu wa magari mpaka njia ya kwenda vijibweni, nin...
Kazi za civic voters education officers,
Hawa jamaa walitoa kazi kama mwez umepita, leo wanatuma email kuwa umechaguliwa ns kuna training dar kuanzia tarh 22/3/2015 ila wanahitaj utume scanned vyet vyako kwa lawyer wao na Tshs 51500 kwa Mpesa au Tigo Pesa ili aweze kukuthibitisha kuwa uko...
just for entertainment na kupumzisha akili baada ya kazi kwa siku nzima ya J3, salun pale ndo gud and smple mitting point ambapo watu huweza ongea mambo kibao, si wapajua salun mkuu, sa wakakae wap kwingine
sasa mbona hujasema nitume vip hizo cv na other applications, nimeku-pm lakin hujaniambia vzur, can yu tell me more plz, niko mwanza na nina vigezo hivyo
ni kweli hao majamaaa wanatoka,huyo phd alivokuja mwanza juzi kati kama wiki mbili ago, , waliongea kwa simu bw kaka akamwambia he is broke basi bi mdada akamtumia kwa M-PESA laki nne taslim za kitanzania yaan 400,000/= kwa matumiz ya wikiend hiyo, na shuhuda aliona kabisa imeandikwa pokea...
Mimi ni binti mhitimu mwaka 2010 wa BA in Mass com specialized in PR, from SAUT nahitaji msaada wenu katika kupata KAZI/ AJIRA ya PR hata communications pia, nafasi za mikoani ni nzuri zaidi kwa upande wangu (yaani si Dar-es-salaam),kwa sasa niko Mwanza. Nisaidieni tafadhali wana JF.....napenda...
kwa taarifa yyako ombea pale unapohitajikankuombea, me naombewa na najiombea na huyo wema pia atakiwa ombewa, kama hutaki acha, ukiona umuhimu muombee tu, kwan bei gan, usipanick mamaa
yaani huyu dada, kaamua maisha yake pia kuyafanyia maigizo mhhh, yaan haishi skendo, mikasa na vituko duhh,
jana kapata valangati huko ndani ya gari yake, sifa zooootteeee, mbwembwe kibao mara Dubai, gari, shopping, kumbe by mume wa mtu, sasa jana sifa NA majigambo zilitaka mtokea puani...
kudadeki< na mie ngoja niingie mzigoni, haya mwenye mpunga wa kunipeleka dubai nikafanye shopping na matembezi na makorokoro yoteeee ya mraha< check me basi nami nijilipueeeeee....................he he he he he he heiyaaaazzz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.