Yuko wapi Fredrick Bundala aka Sky Walker?

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Jamani ndugu wana jf,hivi huyu mtangazaji wa Radio Free aitwaye Fredrick Bundala au Sky Walker yuko wapi?maana siku hizi simsikii akitangaza,je ameacha kazi au yuko wapi?
 
au ndo huyo anaye taka kuanzisha oparesheni sangara Nzega?
 
Anasoma masters ya mass com. saut pamoja na mwenzake kidboy,yahya mohamed na wengineo kwa hiyo yuko mwanza
 
Jamaa anatangaza bomba sana kwenye kile kipindi cha jumapili saa 10am mpaka 11am kinaitwa "SINTOSAHAU"
 
Jamani ndugu wana jf,hivi huyu mtangazaji wa Radio Free aitwaye Fredrick Bundala au Sky Walker yuko wapi?maana siku hizi simsikii akitangaza,je ameacha kazi au yuko wapi?

Yuko na wenzake watano, wameazisha online Radio ya kwao binafsi. Wanakimbiza ile mbaya.

Hebu wacheki hapa kwenye Tone Radio-tz. Kisha bofya hapo panapowaka ON AIR chini ya Listen Live.

Enjoy.
 
Jamaa nasikia yupo Tone Radio..ni radio station mpya iliyoanzishwa siku za karibuni.Aliondoka na Kid gway au Sandu George pia.
 
sio kweli ... yupo huku Tone Radio-Tz RFA maslahi hakuna aisee, yupo huko na kidbway na wengineo kutokea Kiss FM

huenda we mkweli ila ningependa yahya m,tupo naye jamvini ndo angetueleza mwenzake huyu yuko wapi?pamoja na sandle geogre mpanda me nachokifahamu ndicho nimeandika katika jamvi...huenda na we pia umeandika vile unafahamu nyc
 
Sky walker, namkumbuka tangu akisoma Musoma tech, halafu akaanza kutangaza Victoria FM- Musoma ndipo badae akaenda RFA. Jamaa anakipaji kikubwa sana cha utangazaji.
God bless u wherever ur!
 
Sky walker, namkumbuka tangu akisoma Musoma tech, halafu akaanza kutangaza Victoria FM- Musoma ndipo badae akaenda RFA. Jamaa anakipaji kikubwa sana cha utangazaji.
God bless u wherever ur!

Yeah jamaa ana kipaji,nakumbuka kpind hicho nkiwa musoma
 
huenda we mkweli ila ningependa yahya m,tupo naye jamvini ndo angetueleza mwenzake huyu yuko wapi?pamoja na sandle geogre mpanda me nachokifahamu ndicho nimeandika katika jamvi...huenda na we pia umeandika vile unafahamu nyc
Hatangazi redio yoyote sasa ila anafanya kazi bongo 5 media! Nenda insta andika SkyTanzania utamuona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom