Search results

  1. dimaa

    Chakula hiki nimekipata kwa elfu 3000 tu

    Israel ataweza mashambulizi ya iran
  2. dimaa

    Mwenye picha ya Rahabu Fred, aliyewahi fanya kazi Sahara Media anisaidie

    Kweli mkuu, hata hawa sauti zao zilikuwa ni balaa, tusaidieni mwenye picha zao.
  3. dimaa

    Mwenye picha ya Rahabu Fred, aliyewahi fanya kazi Sahara Media anisaidie

    Samwel David kiama, alikuwa ni hatari
  4. dimaa

    Mwenye picha ya Rahabu Fred, aliyewahi fanya kazi Sahara Media anisaidie

    Shukrani mkuu, kumbe ni wamakamu kidogo
  5. dimaa

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Namtakia mnyama ushindi, ili roho za wana simba zitulie.
  6. dimaa

    Mwenye picha ya Rahabu Fred, aliyewahi fanya kazi Sahara Media anisaidie

    Kama mwaka mmoja uliopita nilimsikia azam, akiripoti kipindi cha michezo mshikimshike, sura yake sijawahi iona.
  7. dimaa

    Mwenye picha ya Rahabu Fred, aliyewahi fanya kazi Sahara Media anisaidie

    Miaka ya 2000's ndo tunakuwa radio free ilikuwa hatari sana
  8. dimaa

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Ngoja tuuone kitatokea kipi, natamani siku moja Israel atandikwe
  9. dimaa

    Mwenye picha ya Rahabu Fred, aliyewahi fanya kazi Sahara Media anisaidie

    Kwenu wakuu. Nimtangazaji aliyekuwa na sauti laini na nyororo, aliwahi fanya kazi Sahara Media na baadaye naskia alihamia Azam Media. Nilikuwa nafatalia sana kipindi chake cha search line pale Radio Free Africa, miaka ya 2000's. Mwenye hata picha tu atusaidie, tumuone ambao hatujawahi kumuona.
  10. dimaa

    Kwanini Man City atolewe wakati alipata goli nyingi ugenini?

    Kumbe, hata mimi hili swali nimejiuliza sana baada ya man city kutolewa, nikakosa jibu, kumbe sheria imebadilika.
  11. dimaa

    Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

    Singida mc imezidiwa hata na tanganyika, kazi
  12. dimaa

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Umaskini mbaya sana
  13. dimaa

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Tutafute pesa kwa nguvu zote
Back
Top Bottom