Search results

  1. M

    A girl to chat/flirt with

    Nataka msichana wa kuchat/kuflirt nae age 18-28.
  2. M

    Nahitaji Laptop Morogoro

    nahitaji Laptop ya kununua Toshiba/Hp yenye atleast Ram 2GB, processor 2.6, ni pm kama unauza
  3. M

    Nauza Viti, Meza,friji na Kabati.

    Nipo mbezi mwisho nauza hivyo vitu kwa bei zifuatazo! Viti 14 vya plastic 8,000@ Meza 4 za plastic 20,000/=@ Kabati la Alumimium futi 4 urefu 250,000/= Friji kubwa la kioo 300,000/= Vimetumika kidogo vyote vipo ktk hali nzuri, naviuza sababu nahama.
  4. M

    House for sale -dsm kinyerezi

    Nyumba inauzwa ipo kinyerezi,ni mwendo wa dakika 5 kwa bodaboda toka kinyerezi mwisho stendi bei tsh. 20,000,000 (milioni ishirini tu) kwa maelezo zaidi PM
  5. M

    Nyumba inauzwa

    Habari wanaJF! kutokana na matatizo niliyoyapata katika Biashara zangu, natangaza kuuza nyumba ambayo ilikuwa bado kidogo kukamilika. imepauliwa, ina vyumba vya kulala vitatu, viwili ni futi 10 kwa 10, masterbedroom ni futi 18 kwa 12, jiko na store. Ina bafu na choo, ipo kwenye eneo la mita 30...
  6. M

    Unfinished House for sale - Dsm

    ipo kwenye eneo la mita 30 kwa 30. bei ni Tsh. million 20 tu. kwa mawasiliano zaidi ni PM.
  7. M

    Msaada field za TICTS

    Habari wanaJF wenzangu.nimepata field ktk kampuni ya TICTS,natakiwa kuripoti jumatatu ijayo,nimemaliza chuo na mina Advanced Diploma in IT..naomba msaada kwa waliowahi fanya field hapo je,wana support yoyote ile?je wana kawaida ya kuajiri watu walioko field?..
  8. M

    Msaada field za TICTS..

    Habari wanaJF wenzangu.nimepata trainee ktk kampuni ya TICTS,natakiwa kuripoti jumatatu ijayo,nimemaliza chuo na mina Advanced Diploma in IT..naomba msaada kwa waliowahi fanya field au traineehapo je,wana support yoyote ile?je wana kawaida ya kuajiri watu walioko field?..
Back
Top Bottom