Kiwanja kina ukubwa gani..hlf kuna njia ya gari hadi hapo ktk nyumba au itabidi kuomba na kuchonga?
Nyumba inauzwa ipo kinyerezi,ni mwendo wa dakika 5 kwa bodaboda toka kinyerezi mwisho stendi bei tsh. 20,000,000 (milioni ishirini tu) kwa maelezo zaidi PM au piga simu 0763662211
Ya mbayuwayu.......................Nyumba hii ya kwenye picha ingekuwa inauzwa mil. 20 Kinyerezi katika kiwanja cha 35x35m ambacho hakina mgogoro, hata tangazo lake lisingefika JF.
INGEGOMBANIWA...
Nyumba hii ya kwenye picha ingekuwa inauzwa mil. 20 Kinyerezi katika kiwanja cha 35x35m ambacho hakina mgogoro, hata tangazo lake lisingefika JF.
INGEGOMBANIWA...
Imeuzwa!