Search results

  1. B

    Viambatanisho 12 unavyovihitaji ili kurudisha kadi ya gari iliyopotea

    Umesahau barua ya mjumbe na serikali ya mtaa unapoishi, picha zako nane file zima la gari kipindi umeagiza gari!!!
  2. B

    Toyota hizi...!

    Huyu kafatwa site take! Kuangusha au kuserereka hii gari ni ngumu kdg ina control kubwa sana hii gari! Data RIP dogo hujala maisha kbs!
  3. B

    Tanzania ni nchi ya hovyo sana. Sijui tulikwama wapi watanzania

    Hapo hujakutana na kunguru weupe barabarani wanataka hela ya supu wakati wewe hata hela ya mafuta huna! This is Tanzania buana!
  4. B

    Dr Mumbi: IMF met Magufuli and admitted the report on Tanzania's economy half baked

    Its very funny! So when you meet him you admit....!!! When you don't meet him figures speaks for themselves! Hahahaaaaaa!!!
  5. B

    Nassari aingia mkataba na Obama Foundation

    Sifa kubwa ukiwa serikalini lazima uwe na roho mbaya kuwatengenezea watu wengine kesi na kuwazamisha kwenye kina kirefu ili wasiibuke tena! Kazi hii hufanywa pia na wachawi na watu wanaitwa sadist! Yaani wakati wengine wanaumia na kutokwa machozi sadist anacheka na kushangilia! Mungu mkubwa...
  6. B

    Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Mtibwa Sugar, Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam

    Simba nawapenda ila wana kampira fulani hivi kakijingajinga sana kwenye mechi muhimu kama hii
  7. B

    Kijana afariki akidaiwa kujirusha toka ghorofani. Polisi wakanusha kwa kuwa mazingira hayaendani

    Umeeleza mambo mengi ambayo msingi wa swali langu uko palepale! Sihitaji kwanza kujua mifuko inafanyaje kazi! Kwanza nakubaliana na dhana/nadharia ya pensheni! Lakini pensheni inayomnufaisha mtu lini ndio issue hapa! Pension ni linient sio fixed ndg ndio maana unakuta kuna mikopo kabla ya...
  8. B

    Kijana afariki akidaiwa kujirusha toka ghorofani. Polisi wakanusha kwa kuwa mazingira hayaendani

    Sikubaliani na wewe hata kdg! Kabla ya kukopi misheria ya huko nje ambako wenzetu wanaishi miaka 90 lazima tufanye utafiti tuzielewe jamii zetu zinaishije, life expectancy ikoje, fursa na mazingira ya ajira nk kisha tuje na formula yetu inayotoa tafsiri sahihi ya pensheni kulingana na mazingira...
  9. B

    Kijana afariki akidaiwa kujirusha toka ghorofani. Polisi wakanusha kwa kuwa mazingira hayaendani

    Hata usiporukia ukweli uko palepale pspf hawatoi hela ya fao la kujito hadi ufike miaka 55
  10. B

    Kijana afariki akidaiwa kujirusha toka ghorofani. Polisi wakanusha kwa kuwa mazingira hayaendani

    Hizi ni laana za nchi hii kupitia sheria za kishetani ambazo mwenye nacho akienda kudai chake utaskia "sheria mpya inasema miaka 55" as if sheria imetoka mbinguni! Bulshit!!!! Hopeless!
  11. B

    Wakosoaji Serikali mitandaoni kwa matusi msidhani mmejificha, mnajulikana

    Akina trump wako bize kutafuta deal zinazokuuza uchumi unaoajiri maelfu ya watu wao na maendeleo ya nchi walishaachana na kufatilia matusi mitandaoni maana pamoja nna kazi nzuri wanazozifanya kuna watu hawawapendi! Hhata MTU atukanwe January to December hatoboki wala hakuna kinachobadilika...
  12. B

    Sawa Kikosi cha Taifa Stars CHAN na AFCON Kimetajwa! Vipi muonekano wa Jezi

    Wasalaam Vipi wandugu hizi jezi za ndg zetu Taifa stars, ukilinganisha na mataifa mengine mnazionaje? Binafsi sifurahishwi na misoksi ya blue yaani fulana blue, kaptura blue soksi blue....imepoa sana! Wadau mnapendekezaje maana muonekano nao una nafasi yakee!
  13. B

    Prof. Joseph Mbele: Nimewabaini wanaomkwamisha Rais Magufuli

    Fikra na mawazo huru ni utajiri mkubwa sana! Prof ameeleweka! Unajua kuongoza watu walionyamaza tuu wanasubiri ww ndio uwe kila kitu yaani kazi yao kusifia tuu ni sawa na kuongoza maiti. Tz inatia huruma sana
  14. B

    Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

    Very beautiful places hizo kama ulaya Fulani hivi! Hapa wanyalu wamependelewa maziingira
  15. B

    Wosia wa tajiri Bilionea Bill Gates

    Subiri uwasikie wabongo sasa! Utafikiri Kaini alifia Tanzania, upate wee nanii! Hahaaaa
  16. B

    Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

    Daa Daaaa maisha haya, changamoto ilikukutanisha na mkee!
Back
Top Bottom