Search results

  1. I

    Makalla atua Katavi na kusema Watasikiliza kero za Wananchi lakini siyo zile zilizopo Mahakamani

    It is very unwisse to try at this point and time to try unwind what has been winded by on Makonda. It can backfire
  2. I

    Amos Makalla: Nimezaliwa Ocean Road, Baba Polisi, Mama Polisi

    Washamba from kolomije wametoka watoto wa mjini wameingia...kazi iendelee
  3. I

    Boniface Jacob: Roho ya Thadei Ole Mushi yaiandama CCM

    Hatari kubwa kwa taifa letu ni wananchi hasa vijana wanaotetea uovu wa wenye mamlaka na kuacha kuahoji kuhusu haki na kufuata maadili. Wasichojua wanafanya kilekile walochofanya baadhi ya mababu zetu kuwafunga wenzao na kuwauza kwa waarabu.
  4. I

    Mafanikio ya Rais Samia yanawatesa waliokuwa wanaomba ashindwe kuongoza nchi

    Kama nia ni kupima "upepo" naamini umepata jibu kwenye comment za watu mbalimabli ambao hawajapangwa au kujipanga.
  5. I

    CONFIDENTIAL: Barua Pepe zaonesha Maafisa 62 wa Serikali ya Tanzania akiwemo IGP walihongwa Fedha na ACACIA (2008/2015)

    Can someone pull the list of the said 62? Have heard of one the IGP
  6. I

    RC Chalamila: Nilifukuzwa shule nikiwa form 5 nikaenda Mkwawa nikawa nawafundisha twisheni Wanafunzi wa form 5 na 6!

    Kiongozi anahitaji kujitambua nafasi yake kwa jamii. Kutaka kuyafanya makosa katika maisha kwamba ni ujanja kwasababu sasa wewe ni kiongozi ni Upumbavu.
  7. I

    Dkt. Slaa akatalika kila mahali na kutengwa na kila mtu

    Kwenye hili la bandari litampa alichowahi kupoteza kutoka kwa wananchi.
  8. I

    Sabaya yuko kifungo cha nje, Huduma za Kijamii anazifanyia Wapi?

    Anaogopa kivuli chake akidhania aliowatesa na kuwadhulumu wamefika. Ni kawada kwa majambazi wote duniani
  9. I

    Dkt. Mpango amuwakia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Aliyedai Hawaoni Juhudi za Serikali Kukamilisha Miradi ya Mkoa Huo

    VP is undefined..sio mpole na sio mkali, sio mkweli na sio muongo, sio mwenye afya na sio mgonjwa, sio mwenye akili na sio mjinga, sio malaika na sio shetani...
  10. I

    Dubai tumesaini nao mikataba ya maendeleo zaidi ya 30. Watanzania wanaopenda Maendeleo tumieni fursa alizotuletea Rais Samia

    Kuhusu mikataba ya nchi na nchi ya kuzingatia 1. Iwe na faida kwa nchi zote 2. Ilinde rasilimali za nchi kwa faida ya vizazi vijavyo 3. Isiwe kwa sababu viongozi wamepewa tender na halua na kufifisha kuona kwao mbele
  11. I

    Hivi Makosa wa Iringa bado yupo?

    Tulia utajifunza kitu. Wapishe wakazi wa Iringa waje hapa.
  12. I

    Hivi Makosa wa Iringa bado yupo?

    Wakazi wa Iringa hivi huyu mwamba wa Iringa aliyewahi kumiliki vibasi vyanavyokwenda Ilula na Zahanati yupo? Anaendeleaje na maisha yake ambayo ni hadithi tosha yenye mafunzo kwa watu?
  13. I

    Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

    Warusi na wamarekani ndio wanao piganisha hiyo vita kill mmoja na upande wake...
  14. I

    Tundu Lissu: Sijawahi kuwa na adui hapa Tanzania, nina marafiki zangu CCM na Serikalini

    Kiwango Cha unafiki cha wilbrod ni cha kiwango cha lami. Itoshe kusema tutaona kwa macho adhabu yake kwa tabia yake. (He is going to end up a destitute)
Back
Top Bottom