Search results

  1. 789

    Naomba ushauri wa kufanya maamuzi ya kielimu

    Poleni na majukumu wakuu Nina div 4 ya 26, shule moja ya private imenikubali kusoma uku na resit kuitafuta c 1, Lakin Pia Nime vutiwa na hii course yA community health Napenda kusomea afya japo siku Soma masomo yA sayansi kutokana na shule yenyewe umefika wakati wa mimi kutoa maamuzi yatakayo...
  2. 789

    Kavua u boss

  3. 789

    Nataka kujifunza English

    Za mchana wadau. Jaman me English yang sio nzuri Asa kwenye kuongea So iwant to Learn more Wapi nitapata British councell nzuri? na huo unajifunza kwa mda gani ? Nikisubili mwakani kuanza chuo
  4. 789

    Tusaidiane ndugu

    Baada ya kumaliza kidato cha nne Sasa nipo home2 wadau kama kuna kazi you yoyote ya kuingiza kipato tusaidiane Huku nikisubili ada ya chuo[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] maisha xhida
  5. 789

    Msaada kimawazo

    Morn jf. Nimekuja kwenu kuomba ushauri kimawazo mwanzo niliambiwa nitafute chuo nikachaguliwa certificate in law mzumbe now Wazazi wanasema hawana Ada nivumilie mpaka mwakani ila watashulikia kuhusu kuingia jkt Nipo confused Yani Nifanye Au nisome kitu gani kifupi Kwa kipind ichi niki wait...
  6. 789

    Ukiwa Na divisheni four ya 26 unaweza kupata chuo cha ualimu cha private

    Ivi ukiwa Na div four ya 26 unaweza somea ualimu kwa vyuo private
  7. 789

    Msaada: Anataka kubadilisha kozi ya kusomea

    Nimsaidiaje huyu dada? Hakuchaguliwa mara ya kwanza ila sasa anataka abadilishe course ya kusomea. Hajui asome nini na alisoma Arts O-level matokeo 4 ya 28 halafu leo mwisho.
  8. 789

    Nina furaha nimechaguliwa Mzumbe University...

    Jaman nimechaguliwa Mzumbe certificate in law
  9. 789

    Niendelee kusubiri NACTE au niende private A-level?

    Jamani nime apply Nacte [law] Lakin naona wanazingua lakini wAzo lililo nijia kwenda Advance(private) ila kikwazo matokeo Kisw C Engl C Hist D Geo D Civ D Bio D Math f Nisubili Nacte au niende privat
Back
Top Bottom