Search results

  1. amygdala

    Jakaya Kikwete weka mipaka kwenye urafiki

    kwa exposure yake naamini ana access ya ushauri mzuri toka kwa watu wenye ujuzi na uzoefu, ondoa shaka endelea kupambana na maisha
  2. amygdala

    Je China ataweza kumpiku USA uchumi.?

    mbn hamlipi nafasi chama langu la urusi lina rasilimali za kila aina mafuta, gas madini pia ni nchi kubwa zaidi kieneo duniani, ndio taifa lenye watu wengi zaidi wanaograduate kwenye fani za engineering pia lina rais intelligent bw Putin, hakika huu mjadala ulifaa kulihusisha na lenyew linaweza...
  3. amygdala

    Pentagon designing ‘Glide Breaker’ interceptor to hit enemy hypersonic missiles

    Mapema mwaka huu rais putin aliyatambulisha makombora mapya ya nchi hiyo yenye uwezo wa kusafiri kwa speed mara kumi zaidi ya speed ya sauti ( hypersonic glide vehicle), pia rais putin alisema hakuna nchi yyt duniani inayoweza kuyazuia makombora hayo kwa teknolojia ya sasa wala kwa teknolojia...
  4. amygdala

    Forbes yatangaza watu 10 wenye ushawishi zaidi Duniani

    mkuu nankumene tia neno hapo vipi hio list kwa mtazamo wako?
  5. amygdala

    Zaidi ya walimu 20,000 waliofeli mtihani wa wanafunzi wao kufutwa Nigeria

    Mamlaka katika jimbo lililo kaskazini mwa Nigeria la Kaduna zinasema kuwa zaidi ya walimu 20,000 wa shule za msingi watafutwa baada ya wao kufeli mtihani unaotahili kufanywa na wanafunzi wao. Hii inafuatia madai kuwa nyingi ya shule za msingi na sekondari nchini Nigeria huzalisha wanafunzi...
  6. amygdala

    Mtoto wa rais Rodrigo Duterte wa ufilipino adaiwa kuhusika na usafirishaji wa madawa ya kulevya

    baada ya vita dhidi ya madawa ya kulevya kupoteza maelfu ya maisha wa watu ambao huuawa kwa kupigwa risasi na vyombo vya usalama nchini ufilipino katika operation inayoongozwa na rais ya nchi hiyo bw rodrigo duterte, sasa inaonekana vita hio imefikia mahali ambako ni ngumu kumeza baada mtoto wa...
  7. amygdala

    Ndege za Israel zashambulia kiwanda cha silaha za kemikali nchini Syria

    Syria inasema kuwa ndege za jeshi la Israeli zimeshambulia kituo cha kijeshi magharibi mwa nchi huku ripoti zikiseka kuwa kiwanda cha silaha za kemikali zilishambuliwa. Taarifa za jeshi zilisema kuwa makombora yaliyofyatuliwa kutoka anga ya Lebanon yalilenga kiwanda hicho kilicho karibu na...
  8. amygdala

    Dah!

    ni kweli mkuu......
  9. amygdala

    Kifo cha ugonjwa wa Malaria chawashangaza madaktari Italia

    Msichana mmoja wa miaka minne amefariki kutokana na malaria ya ubongo kaskazni mwa Italia, eneo ambalo halina ugonjwa huo katika kile ambacho madaktari wanasema ni kisa kisicho cha kawaida. Sofia Zago alifariki mjini Brescia siku ya Jumapili usiku baada ya kupelekewa huko akiwa na vipimo vya...
  10. amygdala

    Dah!

    Dah pole yao watakaoathirika...wamarekan wanazingua cku hizi nina mpango wa kwenda kusaka life urusi venezuela,cuba au north korea walio tayari twendeni
  11. amygdala

    Urusi amkingia kifua Korea Kaskazini na kuonya asiguswe pamoja na uchizi wote alionao dogo

    ni mawazo yangu ndio mkuu..kwan ww unaandika mawazo ya nani humu ndani?
  12. amygdala

    Urusi amkingia kifua Korea Kaskazini na kuonya asiguswe pamoja na uchizi wote alionao dogo

    Urusi nae kwa mikwara hajambo,yeye mwenyew ana vikwazo chungu mbovu kila cku analalamika halafu leo apige biti NK asiwekewe vikwazo!! haya mabiti angepiga ili kujinusuru yeye mwenyew na vikwazo vya marekan na wenzie ingekuwa poa sana..linapokuja swala linalomhusu marekan basi urusi huwa na...
  13. amygdala

    Mahakama ya Guatemala yatengua uamuzi wa rais

    Mahakama ya Katiba ya Guatemala imesitisha uamuzi ulitolewa na raisi Jimmy Morales Kumfukuza mkuu wa ujumbe wa kupambana na rushwa wa Umoja wa Mataifa nchini humo, ambaye aliitisha uchunguzi ufanywe dhidi ya madai ya matumizi mabaya ya fedha katika kampeni za uchaguzi wa 2015. Katika mkanda wa...
  14. amygdala

    Barabara za Marekani hazilali kwa kuingiza pesa; kwanini tusiige?

    kwani lazima kuishi kama marekani? tunaweza ishi kama urusi au north korea
  15. amygdala

    Simba mnatupa pressure mambo gani gani ya ki delicious hayo?

    wache watufunge tu ila ubingwa hawapati...hawa jamaa ni arsenal ya tanzania
Back
Top Bottom