Search results

  1. miss confidence

    Anazimia akitaka kupitia, hili ni tatizo gani?

    Sasa unategemea una mahusiano na mvulana asipatwe na hayo majanga? Achana naye tafuta mwanaume, huyo mvulana hakufai, asije kufia kifuani bure
  2. miss confidence

    DC Ali Hapi awanyang'anya ofisi Wabunge Mdee, Mnyika na Kubenea wa CHADEMA. Kubenea ang'aka...

    Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea amekanusha madai ya DC wa Kinondoni, Ali Hapi ya kufukuzwa ktk ofisi zilizokuwepo kwenye jengo la Halmashauri ya Kinondoni > Adai ameondoka ktk ofisi hizo kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa na alikabidhi ofisi kwa barua #DARMPYABLOGUPDATES
  3. miss confidence

    Dotto Bulendu: Haya ndio maisha ya Tundu Lissu ya Mikikimikiki Sekta ya Madini

    Inauma sanaaa!!!! Kuona watesi wa watanzania wazalendo kama lissu ni watanzania wenyewe!!! Tena wale waliotumia lugha nzuri kuomba ridhaa ya kukalia kiti cha enzi!!! Eehe Mungu msaidie Tundu Lissu apone kabisa!!!! Tazama haya yote aliyapigania sio kwamba anapenda kuishi maisha ya kuwindwa kama...
  4. miss confidence

    Mafisadi wa DARUSO waumbuka

    Mkuu nimeshindwa kuipload ili niiweke hapa nielekeze ili niwaweke maana ninayo kwenye CMU Sent using Jamii Forums mobile app
  5. miss confidence

    Funzo: Usiwaamini sana wanafunzi, Wengi wao wana ndimi mbili

    Hahaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. miss confidence

    Mbowe: Hali ya Lissu ni mbaya na yupo kwenye chumba cha upasuaji

    Baba wewe ni Mungu wa wenye haki, unafanya njia pasipokuwa na njia , wewe ni Mungu usiyeshindwa !! Tunaomba umsimamie shujaa huyu aweze kupona kabisa na kurudi ktk majukumu yake .. ameen Sent using Jamii Forums mobile app
  7. miss confidence

    Mbowe: Hali ya Lissu ni mbaya na yupo kwenye chumba cha upasuaji

    *_Baba askofu Gwajima!!! Atangaza kuwa jumapili atakuwa na ibada ya maombezi kwaajili ya muheshimiwa Tundu Lissu kanisani kwake, ambapo maombi hayo yataambatana na kukemea na kulaani kitendo alichofanyiwa Rais wa Chama cha mawakili ambaye pia ni mbunge wa singida mashariki. Wale wote watakao...
  8. miss confidence

    Msichana wa Miaka 20 abakwa hadi kufa, Madale - Kinondoni

    Hawa watu wasiojulikana hawa mmh Sent using Jamii Forums mobile app
  9. miss confidence

    Salum Mwalimu: Hakuna raia anayeweza kumdhuru Lissu nje ya uwanja wa siasa, CCM na Serikali hili liko wazi

    Get well soon comrade lissu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. miss confidence

    Kwanini Wanasiasa waliokuwa Mahabusu / Gerezani na sasa wametoka wamekuwa wapole na watiifu?

    Majibu yako hayapo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] *IMBA ROMA; MUNGU WA PAULO NDIYE WA DAUDI NA JOHN* Na Luqman Maloto Usiyaone ya jirani ukashabikia tu, vifua vina mengi yanafichwa ndani yake. Si kila ukatili ambao mtu anatendewa lazima atoke na kuusema kinaga ubaga. Inawezekana ni...
  11. miss confidence

    Siku ya kwanza chuo au shule

    Siku za kwanza kwanza chuoni nilikua napotea venue za kusomea kila siku duuuh nafika kuipata venue muda umeisha nakutana na lecturer anaaga jamoney jamoney nilikua narudi jioni nimechoka sanaaa na sijaingia kipindi hata kimoja wallah nilikua nalia kama mtoto usiku kitandani kwangu Sent using...
  12. miss confidence

    Mafisadi wa DARUSO waumbuka

    Huu utaratibu haupo mkuu... Utaratibu uliopo Mara baada ya bajeti kupita majukumu ya kiserikali huendelea kama kawaida na habari ya kusomeana mapato na matumizi hufanywa ktk ile siku ya kuvunja bunge ambapo ripoti husomwa na ofisi ya waziri mkuu kuhusu utendaji kazi wa kipindi chote kwa kila...
  13. miss confidence

    Mafisadi wa DARUSO waumbuka

    Hakika wanastahili adhabu hiyo kama sio kifungo cha maisha ...maana tukiyafumbia macho yatakuja kuota sugu ndo mwisho wa siku yanakuja kutia umasikini taifa
  14. miss confidence

    Mafisadi wa DARUSO waumbuka

    Heshima zenu wana JF. Katika harakati za kuendelea kukomesha tabia ya ubadhilifu wa Mali za umma mnamo tarehe 13 mwezi wa sita katika Bunge la serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha dar es salaam (DARUSO- Mlimani campus) mbunge wa viti maalumu kutoka ndaki ya insia / College of Humanities (COHU)...
  15. miss confidence

    For JamiiForums Mobile users

    1mobile2[/COLOR]
  16. miss confidence

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa DARUSO

    Tunazungumzia serikali ya sasa hivi 2016/2017 sasa shitindi si alikua ameshamaliza muda wake????
  17. miss confidence

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa DARUSO

    Kwanza napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi mzima wa chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM) na Serikali ya wanafunzi wa chuoni DARUSO ambapo Leo serikali hii iliyokua madarakani kwa takribani mwaka mmoja sasa chini ya Rais wake Leon na Makamu wake mkuu Shamira Mshangama inaenda kumaliza...
  18. miss confidence

    Sina imani na Magufuli ila bado naamini CCM ni chama bora kabisa

    Naamini sasa watanzania wameelewa wana aina gani ya rais mpaka kufikia siku kama ya Leo......
  19. miss confidence

    Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Ur still our hero dear nape hakika umeingia ktk historia ya taifa hili la viwonder kwa kupinga ufedhuli, na upuuzi wa chama tawala......bado tunahitaji viongozi kama wewe ktk nchi hii kuondoa aina ya ufedhuli unaoendelea.....all the best Aluta continue
  20. miss confidence

    Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Pumba tuuuuuuu eti kwenda kuchunguza ungaaa ndo aende na mitutu ya bunduki mbona hajatoka kusema alienda kuchunguza madawa akili zako hazina akili
Back
Top Bottom