Search results

  1. Slowly

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hakuna kocha hapo ushauri wa bure kachukueni iniesta , atawasogeza sogeza
  2. Slowly

    Ukiachana na "golddiggers" kuna aina ya wanawake ambao mimi nawaita "marriage-diggers"

    Acha watu waoe na kuolewa , we komaa Tu na gube gube lako boss , kama unataka bikra make sure na ww ni bikra ... Maisha mafupi haya kuanza kusort out
  3. Slowly

    Ahmed Ally anapitia magumu sana na timu yake

    Wewe unaona magumu lakini mwenzako ndo kazi yake na analipwa mshahara mnono kupitia hayo unayoita magumu , kwenda tuu uwanjani kushuhudia timu yake ikifungwa anapewa posho
  4. Slowly

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Jude ni beast wewe huwez mwelewa , Ile mechi na city Madrid alienda completely defensively , na dogo alitaabika Sana...mwanzoni mwa Msimu alikuwa kama striker ila sa hv hayo majukumu kapunguziwa ..ndo mana hata kwenye magoli haonekani sana
  5. Slowly

    Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

    Mondi lazima achovye wahuni sio watu wazur na mwanamke sku zote huwa sio mtu wa kujisimamia
  6. Slowly

    Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

    Jamaa Yuko sahihi , huyo manzi shape inamzuzua wahuni watapiga saaana
  7. Slowly

    Nyaisuka Chacha Mohono auawa kwa kupigwa risasi na Askari wa Hifadhi ya Serengeti

    Tuelekeze basi ww Naona unaruka ruka tuu
  8. Slowly

    Kifo cha Sokoine: Watoto wake wataka mwili uchunguzwe kubaini kama alikufa kwa ajali au la!

    Wapewe huo mwili wachunguze then tuendelee na michakato mingine
  9. Slowly

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Sawa unalazimisha tukuamini alaf unasema mwisho wa Israel , we jamaa wa wapi , Yani waarabu waifute Israel , hzi ndoto za jangwani
  10. Slowly

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Kocha wako mwenyewe kaelewa Ila wewe imekaza fuvu , alaf ieleweke haaland na debrune waliomba watoke mana Ngoma ilikuwa nzito Meanwhile, Guardiola has appeared to aim a sly dig at Real Madrid for defending so deeply. ‘I would prefer to win, first of all,’ Guardiola added. ‘Congrats to Real...
  11. Slowly

    Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    Umeambiwa Sheria ya FIFA unasema hapa kwetu , katika michezo hakuna wa kuitunishia FIFA ,
  12. Slowly

    Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

    Arsenal ni timu ya kijinga sana
  13. Slowly

    Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

    Wanazunguka kumponda makonda , jamaa ni viazi sana
  14. Slowly

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Uefa huwa ni tactical not innovation
  15. Slowly

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Ndugu hakuna njia nyingine ya kudeal na guradiola zaidi ya hii , cha msingi tuu uwe na watu wenye ambition na ambao hawakosei , game iliyopita uliona timu ilifunguka na matokeo yake tuliona , ilikuwa ni risk leo kufunguka mana ungepigwa nyingi na uwezo wa kuzirudisha ni unpredictable.... Sema...
  16. Slowly

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Jamaa anadefend to the last huyu mwamba ni beast
  17. Slowly

    Utaratibu wa NHIF kumtaka mgonjwa akapate Rufaa toka Hospitali za Wilaya ni kero

    Hospital zenye ngazi Sawa na hospital za kanda kuna utaratibu wa kufata , unless uwe na kifurushi cha Bima cha VVP , Ila hvyo vifurushi vingine Mzee inabd uanzie health center huko wakishindwa ndo wakupe referral
  18. Slowly

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Kichapo kipo pale pale
  19. Slowly

    Figisu Hatimae kufukuzwa kazi

    Mkuu karbu kwenye ulimwengu wa kujiajiri , huku unatakiwa uwe na roho ngumu kidog
Back
Top Bottom