Search results

  1. kinehe

    Ushauri nahitaji kununua gari mpya

    Hiyo simu unauza ili uongezee pesa yakununua ndinga mUpya??
  2. kinehe

    Dhana dhanifu juu ya kutekwa Mo Dewji

    Behind the scene
  3. kinehe

    Nikikumbuka hii mbinu niloitumia huwa nacheka sana

    Eehhee baada ya jibu hlo ikawaje?
  4. kinehe

    Hii bia ndogo si walisema ni buku jero?

    Hata nyanya-chungu ni chungu ila hata wasiokunywa bia wanaweza kula.
  5. kinehe

    Kiwanda cha Joyce Kiria

    Kwani anataka sh ngap
  6. kinehe

    Mpenzi wangu ana makosa mengi ya kiuandishi yanayojirudia rudia kila mara

    Kwa upande wangu nimekuelewa sana, hilo sio tatitizo la simu, bali source yke ni kuathirika na mother tongue, nimewahi kufundisha kanda ya ziwa wanafunzi wengi sana wanashida hyo had kwenye uandishi, kwenye a anaweka h(hayupo-ayupo, Mungu-Mugu, Igoma-Ingoma, Njoo-joo, maji-manji, hela-ela). &Coz...
  7. kinehe

    Plot4Sale Nauza viwanja bei nafuu-Mwanza

    Point of correction, nmeenda site kujiridhisha, hatua hzo- zina ukubwa sawa na mita.
  8. kinehe

    Nauza mashine ya bisi-Mwanza

    Nauza mashine ya bisi bado ipo katika hali nzuri na inafanya kazi vizuri sana, inapatikana Nyanguge-Mwanza, bei 280000(laki mbil na 80) maongezi kidogo yapo. Nichek 0625782871.
  9. kinehe

    Plot4Sale Nauza viwanja bei nafuu-Mwanza

    Hatua za miguu za mtu mzima, hakina hati,
  10. kinehe

    Plot4Sale Nauza viwanja bei nafuu-Mwanza

    Hatua za miguu za mtu mzima
  11. kinehe

    Plot4Sale Nauza viwanja bei nafuu-Mwanza

    Nauza viwanja bei poa, vipo eneo panaitwa Nyanguge, ni km 30 kutoka katikakati ya jiji la Mwanza(dakika 20-25) eneo linafaa kwa ujenzi/ufugaji, mita 110, kutoka barabara kuu ya Mwanza-Musoma, cha kwanza kina ukubwa wa 50x48( mil 2.8) cha pili ukubwa wa 104x32(mil 3.8) nichek pm tufanye biashara.
  12. kinehe

    Ni maswali gani uliulizwa?

    Habari wakuu,, ni maswali gani uliwahi ulizwa na wazazi/ndugu zako ulipoenda kuwambia kwa mara ya kwanza umepata mchumba anataka aje kujitambulisha/kumtambulisha home? Karibuni kwa michango.
  13. kinehe

    Hii Hotel jana ilinisababishia Nifadhaike sana kwa Mpenzi Wetu na Jamaa mmoja Mpya

    Teheee,,umetumia neno la kwenye kamusi kabisa "tupu"
  14. kinehe

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ishaalaah utafanikiwa2 mkuu. All de best
Back
Top Bottom