Search results

  1. K

    Watoto wa kike na baba zao

    waooo!!!!!!!!!! very interesting comment. main issue here is as parent let them be as god made them and not making them be like the way parents are because that will never hapen but as parent you have to be alert with any changes to your kids so that their remain in moral line because sometime...
  2. K

    Kwa wakubwa tu!!!kupika sio lazima uvae apron!!!!

    It looks like ur under 18's na kiswahili cha kukariri, maana walioambiwa wakubwa wameelewa na kufurahia ujmbe go back to school and dont jump to something that is not ur level
  3. K

    Chupa mpya, mvinyo ule ule...(?)

    mbu hamna ulazima wowote wa kupeana password za vitu ulivyotaja lakini pia si uvamizi kwa maana huyo ndiye uliyeridhia kuwa mwandani wako so why to hide anyway. hapo unaanza kumpa wasiwasi maana kwa kutumia kigezo cha kuaminiana kunawafanya wa take advantage. pia si issue ya kuchunguzana ila ni...
  4. K

    Nioe mke mwingine?

    soma vizuri usikurupuke kujibu tu
  5. K

    Chupa mpya, mvinyo ule ule...(?)

    Da! mbu thread yako imegusa sana si member sana wa chumba hi lakini imenigusa sana maana muda huu nimenuna kwa sababu mama baby wangu ametoa priority kwa shughuli za nyumbani mpaka nahisi upweke na nimejaribu kumbeep ananiambia its not right time while ni wkend ya kuwa hm nae...
  6. K

    Tulikuwa bado tunamhitaji BENJAMIN MKAPA kama Raisi wetu kwa maeneleo yetu

    ukweli utabakia kuwa ingawa amekuwa akilalamikiwa kwa kuruhusu watu wake kuingia kwenye mikataba mibovu lakini aliweza kufanya vitu ambavyo viliweza kuonekana machoni pa watanzania. si taarabu tunazoziona sasa maana hata ukimuuliza mtu yoyte asiye na ufahamu wa kutosha kuhusu maendeleo kuwa nini...
  7. K

    East African Countries' Budgets

    mzee unauliza pdf ya bajeti yetu wakati ukiangalia taarifa za mwezi uliopita bado hazijapositiwa nchi hi mwendo mdogomdogo. nahisi kama tupo kwenye kisiwa ambacho hakina mawasiliano sehemu nyingine ya dunia maana kila kitu tupo nyuma.
  8. K

    Bacha......................Happy Birthday!!!!!!!

    mzee hongera kwa kuongeza umri na kumkaribisha israeli ingawaje hujatuambia umefikisha miongo mingapi isje ikawa ni wale wanao ibia miaka ya wenzao maana tumeambiwa na wanaopanga muda wetu wa kuishi kuwa tusizidishe 50
  9. K

    Jamani mmeyasikia haya!!!!!?

    hi issue ya mindset tu hamna lolote hapo. lakini nashangaa wanajf mnaanza kuonyeshana tofauti zenu za dini na mapokeo yenu ya kiimani badala kujenga mtabomoa. kwa mungu hakutakuwa na hizi dini bali utaulizwa kama ulitimiza wajibu wako uliotumwa kwayo
  10. K

    Mwanaume kuiomba airtime voucher!!!!

    tunafeel the same way kwa sababu kwanini mwanaume awe wa kutumika tu aumize kichwa kupanga maneno ya kukutongoza,aanze kukuhudumia kwa kila kitu na mlivyo wa ajabu ukiona tu jammaa anakumendea unapanda bei ghafla. hiyo haitoshi hata tukiwapa kila kitu mnaanza oh he doesnt satisfy me au oh haendi...
  11. K

    Jamani hebu sikieni nilichokiona leo - Bosi na Binti wa 16yo

    hayo ni mambo ambayo yamekuwa ya kawaida kabisa kwa kizazi kilichopo so nothing new is just bse you saw it but there hundreds of it. na kuna notion siku hizi kuwa akina babu ndio wazuri kwa, mosi kutoa bajeti nzuri kila unapopresent ombi no objection and with surplus also they dont bother them...
  12. K

    Tumeporwa mtoto tufanyaje jaman -woga umetuponza

    cha msingi kama makubaliano ya kirafiki yameshindikana basi tumieni haki za kisheria ambazo naamini zinaweza kuwasaidia. ingawaje pia mama wa huyo mtoto ana sauti ya kuamua nani awe baba wa kulea huyo mtoto,swali langu ni kkwamba huyo mtoto anatumia jina la nani na pia makubaliano yenu yaliweka...
  13. K

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    lets the arsenal get rid of wenger bse he fits being an academician rather being a proffesional coach. otherwise the troph draught will keep drainin on us
  14. K

    ex-girlfriend anataka nizae nae

    mara nyingine maji huzidi unga but all in all nashukuru kwa ushauri wako ambao ni very constructive
  15. K

    ex-girlfriend anataka nizae nae

    nimekusoma mkuu thx
  16. K

    ex-girlfriend anataka nizae nae

    nashukuru sana kwa ushauri wako wenye kujenga mkuu. issue yakunishirikisha mambo yake ananishirikisha na pia huwa namshirkisha wife wangu maana wanafahamiana so if the is any family she tends to inform us and viceversa
  17. K

    ex-girlfriend anataka nizae nae

    thx kwa ushauri lakini hilo la kumshirikisha my wife itakuwa ni dharau kubwa sana kwake. na ndio maana nimeiweka hapa kupitia ushauri wenu nifikie uamuzi ambao utakuwa mzuri kwangu na familia yangu
  18. K

    ex-girlfriend anataka nizae nae

    simchakachui boss wangu ila tuna ukaribu wa mawasiliano tu
  19. K

    ex-girlfriend anataka nizae nae

    nashukuru kwa ushauri ila ingekuwa ni suala kutaka nisingepata wakati mgumu wa kuamua
  20. K

    ex-girlfriend anataka nizae nae

    mimi ni baba wa familia(nimeoa) kabla ya kuoa nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambae nilidumu nae kwa miaka mitatu hivi. nilipokuwa tayari kuoa nilimtaarifu mwenzangu kuwa nataka kujitokeza kwao aliniambia kuwa kwa wakati huo hayupo tayari kuolewa kwa sababu bado hajajiandaa na wazazi wake...
Back
Top Bottom