Search results

  1. ngunde

    Uvaaji wa hijab kwa wanafunzi wa sekondari Tanzania

    Mwambie mwenzio aache udini huyo
  2. ngunde

    Uvaaji wa hijab kwa wanafunzi wa sekondari Tanzania

    Mbona hauongelei suala la waislam kupewa siku ya mapunziko kama wewe unataka umoja wa kitaifa
  3. ngunde

    Uvaaji wa hijab kwa wanafunzi wa sekondari Tanzania

    Na wewe si uvae kama unaona husuda.
  4. ngunde

    Trump azidi kukataliwa

    Hapo mwanzo nilikuwa simpend trump lkn sasa hivi jamaa namkubali coz ni msema kweli.
  5. ngunde

    Trump azidi kukataliwa

    Ndio kaongea ukweli ni bora trump ni msema kweki
  6. ngunde

    Ahadi ya miezi miwili kuhusu ajira imeisha, tunasubiria chenga ya pili

    Wewe mwenyewe umeajiriwa harafu unawaambia watu wafanye biashara bila ya mtaji
  7. ngunde

    Baada ya tendo najisikia hivi... je ni kawaida kwa wanaume wote?

    Kuchangana lugha ni swaga au mbwembwe?
  8. ngunde

    Rais Magufuli Kama hautabadilika na Style yako ya Uongozi, 2020 Inakuhusu

    Daaah japokuwa umeeandika kiswahili lkn nimeambulia patupu
  9. ngunde

    Rais Magufuli ukipenda kiondoe kikombe hiki

    Jamani hayo maandalizi yanayofanyika huko gerezani ukiyaona usingelitamani maandamano kushiriki
  10. ngunde

    Laudit Mavugo aanza "kurudisha" hela ya usajili Simba S.C.

    Nyie mbumbu fc huyo mavugo kawaroga nini? Baadala ya kumsifia kichuya nyie mnamsifia mavugo wakati man of the match ni kichuya kweli nyie ni mikia fc
  11. ngunde

    Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

    Me sijaelewa sayansi utasoma mpaka level gani?
  12. ngunde

    Hatimaye Yanga yakabidhiwa kwa Manji aiendeshe kama club Binafsi

    Muulizeni aveva wenu zile pesa alizipeleka wapi?
  13. ngunde

    Hatimaye Yanga yakabidhiwa kwa Manji aiendeshe kama club Binafsi

    Mpeni ninyi mo sisi tumeshaamua haturudi nyuma
  14. ngunde

    Ni Mfumo Gani Huu wa Uendeshaji Ndani Ya Yanga?

    Wewe kama shabiki wa yanga umeifanyia nini yanga mpaka muda huu.na mpaka sasa tajeni vitega uchumi vya yanga ambavyo vinaipatia yanga pesa.
Back
Top Bottom