Search results

  1. B

    Naomba ushauri kwa wanaoielewa Toyota Brevis

    Nimetumia Brevis 2500cc kwa miaka mitatu mfululizo kipindi fulani. Nimefanya safari ndefu nyingi tu, sijawahi kupata hiyo 12km/l, sijawahi. Ni mara chache sana nimewaza kufikisha 10points km/l; na hapo nimeendesha kiuchumi sana; spidi kati ya 90-120km/hr na mara chache sana inafika 130-140km/hr...
  2. B

    RC Makonda, Dar ni jiji la wote, vyama vyote. Mbowe sio mwanasiasa uchwara aliyefilisika, Zitto sio mshirikina. Tunakupenda, heshimu wote uheshimiwe

    Hao wawili (VC na PM) sababu kuu ya kutokua na kauli hizo ni kwakuwa sio washamba wala malimbukeni
  3. B

    Sababu za kiroho kwanini Mike Tyson alipigwa na Evander mwaka 1996

    sIO Sawa shekhe. Hoja yangu kuu ni kwamba; dini tuziendee kwa akili sana. Tena kwa kipimo na maarifa kwelikweli. Ukizivaa kichwa-kichwa zinapumbaza mpaka unakua mjinga na mtumwa wa imani.
  4. B

    Sababu za kiroho kwanini Mike Tyson alipigwa na Evander mwaka 1996

    Kwako wewe unaye-amini hivyo, sawa.
  5. B

    Sababu za kiroho kwanini Mike Tyson alipigwa na Evander mwaka 1996

    Kuna mamia na maelfu hawana dini na wanaishi kiugwana na kistaarabu kuliko hao wenye dini. Chunga dini isikulevye, inaondoa maarifa.
  6. B

    Sababu za kiroho kwanini Mike Tyson alipigwa na Evander mwaka 1996

    Dini ni ulevi mbaya sana. Na ukikumbwa na kilevi hiki huku kichwani ni kilaza, ndio unalewa mpaka unapitiliza.
  7. B

    A question about possible remote folklore memories of Masudi's "Zanj Empire" in present Tanzania

    Haven't heard or read about such lost civilization in East Africa...and so, i might not be helpful. Just got interested on Masudi's tale and memories, hope its a book or something documented; planning to ready it already. Wish you get someone helpful; JF is very big forum, someone will show up.
  8. B

    Nateseka sana kwa tukio hili, ukipata nafasi ya kusaidia mtu msaidie kweli

    Kuna video clip moja bondia wa zamani Mike Tyson anasema anatamani angesaidia zaidi ya alivyofanya, angekua na furaha zaidi ya aliyonayo sasa. Kwa hakika clip ile ilinibadilisha sana. Furaha yetu iwe katika kuwasaidia wengine. It makes you feel good
  9. B

    Gharama za kuchimba kisima kirefu cha urefu wa metre 200 chini ya ardhi

    Kwanza nishukuru JF (founder na uongozi wote) kwani nimepata kazi nyingi baada ya post yangu hii ya kuhusu uchimbaji wa visima. Nimepokea simu nyingi zilizonipa kazi, zilizotaka tu ushauri na hata zile za kuni-challenge. Nawashukuru wote. Niliahidi kuandika zaidi kuhusu masuala ya uchimbaji wa...
  10. B

    Waenda mahakamani kuomba kufutwa kwa ukomo wa Urais. Wadai ukomo unazuia maendeleo. Ni mkakati wa kufanya urais usio na mwisho Tanzania

    Usijali. Haitakuja kuwa hivyo, hatutaliwa. Hili likifanikiwa, atatawala mpaka afe. Na atakua ameshamuandaa yule kijana wake kuchukua madaraka, hivyo ataendeleza pale pale alipoachia baba yake. Umeona, hapo? Hakuna tatizo kabisa. Usiwe na hofu.
  11. B

    PICHA: SGR Tunnel ilikuwa Ulaya sasa ni Tanzania.

    Kwa wimbo anaouimba kwaya-masta vijana hawatakuamini hata kidogo.
  12. B

    Kabla ya Kuwashtaki kwa "Uhujumu Uchumi" Wachawi Wetu; Swali hili Serikali ilijibu kwanza..

    Si hamjaribiwi nyie? Mbona sasa mnajambajamba tu na vitisho kibao?
  13. B

    Patrick Ngowi ni nini kimemsibu mpaka kufanya biashara haramu?

    Naona elements za wivu na chuki...
  14. B

    Ishara: Ukiona shimo wanaishi nyoka na panya jua Kuna uwepo wa madini

    Ndio maana sishangaagi kwanini Watanzania ni mafukara wa kutupa.
  15. B

    Kupulizia dawa vyumbani, TFF wako wapi

    Roho inakuuma mpaka unatamani kunywa sumu!! Utateseka sana mwaka huu
  16. B

    Lema kuhojiwa kwa kutoa kauli ya kwamba 'Bunge ni dhaifu'. Wabunge wa CHADEMA wasusia Bunge...

    Nyie kabsaa? Wananchi wa Tanzania hii hii? Eti muwale vichwa wabunge wenu, thubutuuu!! Nyie wenye mtindio wa ubongo, kichwani mmejaza kamasi, maoga hata mnapoonewa, hamjui haki wala wajibu wenu; mtaanzia wapi kuwala vichwa? Not in hundred years!
  17. B

    Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

    Mbona yeye mwenyewe wa hovyo? Yeye ni kiongozi wa kundi lililowezesha upuuzi-puuzi na wapuuzi kuwa taswira ya mafanikio. Asijitoe ufahamu, punguani waheed!
  18. B

    Usifanye Masters kama lengo lako sio kutafuta PHD

    Nilisoma masters na sina lengo la kufanya PhD (japo siondoi uwezekano huko mbeleni wa mimi kusoma zaidi). Kwanini nilifanya masters, na kwanini sitafanya (any time soon) PhD?. Nilipomaliza undergraduate niliajiriwa kwenye ofisi inayojihusisha sana na tafiti. Kwa kiasi kikubwa kazi za ofisi...
  19. B

    Msaada wa nauli: Nimeitwa kwenye usail Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB), Moshi-Kilimanjaro

    Ngoja tuone. Kama nitapeli nitajua, na hatafanikiwa.
Back
Top Bottom