Search results

  1. nkyandwale

    Kwa wale ambao hatujakubaliana na ripoti...

    Ungejua, Mimi nafuatilia sana ni namna gani ya mkumsaidia Mkuu wa nchi ila wapo wanaonifuatilia mno, kwanini nafuatilia. Hakuna mwenye nchi sote ni katukumeni wa kiinanchi kwa kila mmoja, aseme ndiyo au hapana akiwa na vilelezo vya mashiko...! Wewe unasemaje..?
  2. nkyandwale

    Usiache kupita hapa kujua Faida/Matarajio ya hisa za Vodacom

    Inawezekana upo sahihi, lakini kumbuka kuwa mwamba ngoma....? Ukweli una vithibitisho vyake, siku itafika tu...!
  3. nkyandwale

    Tuulizane maswali kuhusu kuchepuka!

    Swali lako lipo kiutafiti zaidi, unataka kuandika makala...? Mfuatilie nyuki kwanini anapuyanga huko na kule...?
  4. nkyandwale

    Aina tano za wanawake wa kuwaogopa

    Hao wataoana na wanaume wenye sifa hizo, kwani warabu wa Pemba hulewana kwa vilemba...! Haachwi MTU...!
  5. nkyandwale

    TODAYS MESSAGE: Nguvu ikiizidi akili hutafanikiwa

    Akili nyingi huondoa maarifa...!
  6. nkyandwale

    Ni marehemu katika mwili mwingine!?

    Hayo ndiyo maisha tata na rangi za kinyonga...!
  7. nkyandwale

    Nataka nimuacha lakini yeye hataki

    Mwambie, "nakupenda lakini....!" Huo ni mtihani baada ya kitambo utaniambia.
  8. nkyandwale

    Je, Mke wangu kanisaliti? Nini nifanye? Je kuna haja kumwamini tena?

    Hujamgusa...! Huko ameguswa, acheni kupapasa teka hisia...!
  9. nkyandwale

    Falsafa ya dini, heri kutoa kuliko kupokea, ila watu hupenda kupokea kuliko kutoa, je nani atoe?

    Kwanini baadhi ya watu hupenda kupokea zawadi? Hakika zawadi ni sehemu ya faraja kwa mpokezi wa zawadi hiyo. Lakini nisaidieni, ingawa wenye falsafa ya dini husema heri kutoa kuliko kupokea! Nani atoe? Baadhi ya watu wengi hupenda kupokea zawadi kuliko kutoa inakuwaje kijamiii?
  10. nkyandwale

    Hakuna masika yasiyo na mbu...!

    Nani ana taarifa sahihi za kushikiliwa kwa mwana jf...? Kwanini ashikiliwe...? Kama kuna ukiukwaji katika kazi zake, kwanini mtandao usifungwe, iliuchunguzi ushike nafasi, kama yafungiwavyo baadhi ya Magazeti...? Ukweli utadhihili...! Nijuzeni wanajf kulikoni...?
  11. nkyandwale

    Jinsi Kampuni za Simu zinavyowaibia wateja wao!

    Duuuh...kumbe bado wapo watu hupenda vya bure...! Dezo gharama...!
  12. nkyandwale

    Leo sijui Baba Paroko alikuwa ananilenga mimi au najihisi tu!

    Ahhaaa....! Ni Mimi jamaaa...enzi hizo walinena...!
  13. nkyandwale

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Una ujuzi gani juu ya uchawi...? Huo uweledi uliupate...?
  14. nkyandwale

    Never give up...

    Hakika kila shetani na mbuyu wake....!
  15. nkyandwale

    Sijaridhika na matumizi mabaya ya lugha..!

    Si jambo rahisi kwa binadamu kupokea kila jambo kama shimo la taka....! Sijaridhishwa na lugha iliyotumiwa na baadhi ya vyombo vya habari vilivyotoa jinsi aliyepofushwa macho...kuwa ameneemeshwa...!? Matumizi ya kuneemeshwa kwangu na waungwana wengine yana ukakasi kifikra kwani nstambuwa...
  16. nkyandwale

    Prove me wrong! Binadam ufa Tarehe moja kabla/ baada ya Tarehe waliyozaliwa.

    Panya akitaka jina hujipitisha mbele za watu....ili mradi atajwe...[emoji242]
  17. nkyandwale

    Ni kwanini tunahukumu kabla ya kuhoji pande zote?

    Ni watu wachache sana wanaoweza kuhoji jambo linapotokea baadhi huwa na maamuzi ya kuhukumu...! Hususan kati ya wawili mmojawapo akiumizwa....[emoji84] Kwa ujumla hukumu kama hizo hutokea kwasababu watu hupokea taarifa za upande mmoja...ni vigumu kupata taarifa zote kwa wakati mmoja....si...
  18. nkyandwale

    Natafuta mume

    Nimeguswa...lakini...!
  19. nkyandwale

    Nimezama kwenye penzi la Askari Polisi

    jipange kielimi nafsi (kisaikolojia)......mapenzi si mgando angalia muktadha....kuona ni mkataba wa hiyari lakini kabla ya kiruka agana na nyonga....kila la heri.....! anzia hapo...! Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom