Falsafa ya dini, heri kutoa kuliko kupokea, ila watu hupenda kupokea kuliko kutoa, je nani atoe?

nkyandwale

Member
Feb 8, 2011
64
95
Kwanini baadhi ya watu hupenda kupokea zawadi? Hakika zawadi ni sehemu ya faraja kwa mpokezi wa zawadi hiyo.

Lakini nisaidieni, ingawa wenye falsafa ya dini husema heri kutoa kuliko kupokea! Nani atoe? Baadhi ya watu wengi hupenda kupokea zawadi kuliko kutoa inakuwaje kijamiii?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom