Search results

  1. Activity Ratio

    Je, Waziri wa Fedha Mipango ni mzigo kwenye Serikali ya awamu ya tano?

    Jamaa ni mtaalamu wa uchumi but ndiyo hivyo tena lazima tumbo litangulie mbele
  2. Activity Ratio

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    *Good News! Habari Njema!* *MJI KASORO BAHARI* *M O R O G O R O* * *Forex Trading Training in MOROGORO* Wengi mlisema Morogoro mmetengwa, tumewasikia. Tunawaletea Guru wa Forex Tanzania, Prophet Abraham Laizer! Tangu tuanze safari zetu mikoani kwa ajili ya kufundisha watu biashara ya...
  3. Activity Ratio

    FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

    Jamani mwenye vitabu vya betting na gambling atupie hapa. Tusaidiane wana kubet km ambavyo wa forex wanavyopeana vitabu.
  4. Activity Ratio

    FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

    Very good response nahuzunika watu wanapopotosha vitu ambavyo ni simple kuelewa. Kweku Adoboli - Wikipedia Hii link huyu jamaa ni mghana ...ni forex trader. Alikuwa anafanya kazi kitengo cha forex kwenye hiyo bank tajwa. Though alifanya fraud na kuisababishia bank hasara kubwa sana. But this...
  5. Activity Ratio

    FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

    Nasoma comment za watu nacheka sana . Leo ndio nimeelewa kwanini lowassa alisema kipaumbele chake ni elimi
  6. Activity Ratio

    FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

    Lol..! Tanzania yangu. Ndio nishakuwa mtanzania. Sina jinsi. Nitaishi nao hivyo hivyo tu.
  7. Activity Ratio

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Nimecheka sana eti mtu anafananisha forex na betting Forex ni Elimu km unavyosemea uhasibu (c.p.a), to become a trader lazima usome na uwe na mentorship hadi utakaposimama. Forex ni investment, forex ni biashara. Anyway nilichogundua watanzania tunalack information. Kuna mwingine humu jf...
  8. Activity Ratio

    Watanzania tunajiandaaje na kasi hii ya mabadiliko ya fedha za kimtandao?

    Majirani washatupita mda tu mbona Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Activity Ratio

    Watanzania tunajiandaaje na kasi hii ya mabadiliko ya fedha za kimtandao?

    Bitcoin is not a pyramid scheme. Its digital money. Kila fursa nyie mwasema pyramid. Fanya research. Jiridhishe. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Activity Ratio

    Hatimaye Erick Shigongo Atajiunga na chuo mwaka huu

    Mmh isije ikawa ni zile hadithi zake za kusisimua Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Activity Ratio

    Forex trading short course

    Sijui sana pia lakini bitcoin ifuatilie zaidi. Ifuatilie mkuu....tafuta interview za kina bill gate on bitcoin utube. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Activity Ratio

    Forex trading short course

    Mkuu fanya online transactions na international banks kama equity, Barclays, etc ...local banks zna ukiritimba mwingi kwenye hizo issue ....au jiunge na bitpesa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Activity Ratio

    Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha walaumiana SHILAWADU

    Hivi mkuu bado anafuatilia shilawadu? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Activity Ratio

    AY amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Remy aliyeishi nae kwa miaka nane

    Walikuwa wanafanya research ya mapenzi Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  15. Activity Ratio

    Meena Ally wa Clouds FM ananikosha sana

    Ipo play store??
  16. Activity Ratio

    Kura ya hapana yaibua mjadala upitishaji bajeti ya Serikali

    And ur English teacher is the stupidiest
  17. Activity Ratio

    Waziri wa Viwanda, Charles Mwijage: Ukiwa na vyerehani vinne hicho ni Kiwanda kidogo

    Nina printer 3 hapa. Je tayari nina kiwanda? Au ni mpaka ziwe nne?
Back
Top Bottom