Search results

  1. Amoxlin

    Msaada wa namna ya kupata Prem number

    Vipi ulifanikiwa kuipata?
  2. Amoxlin

    Nashukuru sana kwa kutoka salama kwenye Chumba cha uchakataji

    Zile dawa ukizitoa kwny kichupa chake kwa kitambo zinakua kama zinatoa mafuta. Ongeza bidii utaelewaga tu
  3. Amoxlin

    Nimwambie hali halisi?

    Shetani atakupepeta kama ngano mdogo wangu.
  4. Amoxlin

    Nimeingia ulimwengu mpya

    Weka na bei ya vumbi + morogoro sehemu gani ili tangazo likamilike
  5. Amoxlin

    Wadada kuweni na msimamo Muda mwingine

    Majuto ni mjukuu. Hii tabia ya wanawake kupatukana na kupadhihaki walipotoka huwa inawagharimu sana. Wakipata bwana mpya akili zinawaruka kabisa!
  6. Amoxlin

    Kuna yeyote aliyewahi kusamehewa Deni la SONGESHA? Nahisi kuingizwa kwenye 18 zao

    Deni halikimbiwi waungwana. M-PAWA wananidai 60,000/= SONGESHA wananidai 12,000/= wote nitawalipa ila M-PAWA nimewasubirisha miezi mitatu sababu walinikera kila siku sms za kuniambia nilipe kabla ya muda wa kulipa haujaisha.
  7. Amoxlin

    Una mpango wa ku-date na mke wa mtu? Zingatia haya

    Hii game hainaga kanuni...
  8. Amoxlin

    Natafuta kazi yoyote

    Ni kweli kabisa.
  9. Amoxlin

    Natafuta kazi yoyote

    Nafanya "Nipe Mawasiliano" ndicho alichomaanisha. Usipozoea text za mkato utapata tafsiri tofauti.
  10. Amoxlin

    Kwanini hela ya Kenya ina thamani zaidi, tena mbali kuliko ya Tanzania wakati tumebarikiwa kila kitu?

    Kenya hakuna CCM kwahiyo lazima watuzidi kwa kila sector!
  11. Amoxlin

    Wabunge/ Mbunge akijirekodi faragha anaweza kupoteza Ubunge wake?

    Kwani huko kawe kuna tatizo lolote?
  12. Amoxlin

    Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

    Fika dawati la jinsia kutoa malalamiko ili baba wa huyo mtoto aweze kuwajibishwa atimize majukumu yake. Ukishindwa hilo huyo mama wa mtoto geuza mchepuko wako na ikibid tia mimba kabisa ili ku activate akili ya mkeo
  13. Amoxlin

    Tahadhari: Kama una mke mjamzito usijaribu kufanya hili

    Mimi nilikula embe lake tu, ebwana niliamshwa satisa usiku nimpikie chai.
  14. Amoxlin

    Nini kimekufanya ukawa baba/mume bora?

    Ukijitambua tu kila kitu kinawezekana.
  15. Amoxlin

    Nilipata ulemavu sababu ya Mapenzi

    Mnapenda sana kupitiliza au mnaiga kweny tamthilia bila kujua wale wapo kazini wanatafuta pesa? Baada ya kuwakuta wanagegedana nini sasa kikakupeleka barabarani? Wenge au? Natamani nikulime bakora za maana ujinga ukutoke kichwani.
  16. Amoxlin

    Siku ya tano leo wife kaninunia kisa nilimchana ukweli kuwa hajapendeza

    Pendelea kusikiliza mijadala inayohusu mke wa pili mbele yake. Atabadilika tu chap.
  17. Amoxlin

    Wife hanichangamkii, nimepoteza mzuka naye kabisa

    Uhuru wa manyani hauachi kuwaponza. Mdicho kilichokutokea wewe! Hata mkeo akiwa mkoani usithubutu kufanyia ufuska ndani mwako.
  18. Amoxlin

    Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

    Kampa mimba mama mkwe au kipi hasa maana hakuna kipya chini ya jua. Huenda kiusaliti chenyewe pia cha kipuuzi tu. Kiweke wazi tukuoneshe makubwa zaidi ya hilo na hayajawatenganisha watu!
Back
Top Bottom