Search results

  1. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Naendelea kuwapa mrejesho ndugu zangu mradi wangu unaendelea kuku wale wale waliokua wanalalia nmewarudishia mayai kwa awamu ya pili na tatu Hawa wengine nmeacha watage tu pia Kuna kitu nmejifunza kupitia Hawa kuku wa kienyeji ukimuachia nje azurure atataga kila siku na ukiwa unamfungia utagaji...
  2. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Tutaendelea kupeana mrejesho wakuu nawahakikishia hakuna kinachoshindikana
  3. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Namshkuru Mungu mahali nilipo hakuna hyo tabia
  4. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Kaka njoo nikufundishe kumlisha kuku wa kienyeji akifikia miezi 3 watu wanamshangaa au wanasema sio kienyeji
  5. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Mkuu bila shaka upo kwenye mazingira ambayo yanakubana lakini mimi nipo sehemu ambayo gunia la pumba linauzwa elfu12 na nje Kuna wadudu panzi na mchwa wa kutosha bora Ata mimi hua nawapa pumba kdg majirani zangu wao wanafungulia asubuhi na wanafungia usiku Karibu
  6. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    [emoji109][emoji120][emoji120][emoji120]
  7. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Nawalisha majani na mabaki ya sokoni pia
  8. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Nina mbinu nyingi sana na pia Nina eneo kubwa sana ambalo kuku jioni napomaliza shughuli zangu binafsi hua nawaachia huku na me nikiwa nawafatilia kwa karibu ,chanjo nipo makini sana
  9. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Mkuu natamani sana hii kitu kama unaweza kunisaidia mahali ntapata mbegu naomba msaada wako
  10. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Ndomana nmesema baada ya majaribio kadhaa kaka nikikuonyesha kuku wangu wa kienyeji wa miezi mitatu unaweza kukataa ukazani ni wa miezi 6
  11. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

    Wadau humu wamejaa ujuaji lakini me nafuga Hawa kuku na kwa hakika wananineemesha sana kuku wa kienyeji Ana faida nyingi sana ambazo nyie vijana wa mjini hamzijui
  12. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Kumekuwa na kasumba juu ya swala Zima la ufugaji wa kuku wa kienyeji kuonekana kama ni swala lisilowezekana yaani kufuga kuku wa kienyeji mpaka kufikia idadi kubwa yani 1000, 2000 au hata 3000 Baada ya majaribio kadhaa ya kufuga hawa kuku sasa rasmi nmeingia kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji...
  13. Manchid

    Nikitumia Jogoo la kuroiler kupandisha kwa tetea wa kienyeji mayai yatatamiwa na kutotolewa?

    Kiongozi hii me hua naifanya sana wanatoka kuku ambao kwa 75% ni kienyeji na wanastamia vizuri tu
  14. Manchid

    Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

    Mtoa Mada unapajua mwanza kweli? Na je utamu wa Singida unaujua kweli?
  15. Manchid

    Hamna mkoa nimewahi kwama kwenye utafutaji kama Singida

    Mkuu we huijui singida pale Kuna chuo cha uhazili,veta,tia chio cha afya pale hospital ya mkoa,chuo cha ualimu lake,chuoa cha ualimu singida sec,chuo cha maji,chuo cha ualimu st Carolas kule juu na mavyuo mengine kibao mpk ya utalii Pale singida nilifungua goli la chips nikatajirika Huenda we...
  16. Manchid

    Wanaotajwa tajwa kumrithi Rehema Sombi kiti cha UVCCM Mkoa wa Singida

    Wampe Joram Nkumbi akili nyingi sana huyu jamaa
Back
Top Bottom