Search results

  1. M

    Al shabaab war briefing on Citizen TV

    Maelezo kuhusiana na vita na Al shabaab na hali ilivyo kwa sasa yanaendelea on Citizen TV now. Yanatolewa na viongozi na makamanda wa KDF.Fatilia
  2. M

    Vita ya Mafuta!

    Tupo hapa Kobil Mlimani City. Kuna fujo ya hali ya juu. Ni kama ni kituo pekee kinachouza mafuta kwa ukanda huu,hali ambayo imesababisha magari na raiwa wenye vidumu wengi kusongamana na wengine kupigana. Barabara ya kwenda Sinza imezibwa kabisa. Ni kama baadhi ya scene tuonazo Somalia.When this...
  3. M

    Kampuni za simu zinawaibia wananchi. TCRA wanajua hili?

    Mi ni mteja wa Airtel, nakumbuka kuna member alichangia humu jamvini kwamba kampuni za simu zinawaibia wateja. Aidha kwa kufahamu au kutofahamu. Nimefuatilia mara kadhaa, leo nime prove alicholalamika yule Bwana. Airtel wana promotion ya kutuma sms 5 ambazo utakatwa pesa kisha unapewa sms 100 za...
  4. M

    NSSF inaweza kupoteza Tsh 50 bilioni

    Kwa mujibu wa report ya mkaguzi mkuu wa serikali, NSSF inaweza kupoteza zaidi ya Tshs 50 bilioni katika baadhh ya miradi inayotaka kuwekeza ambayo inaonekana ni hatarishi (Risky Investments). Miradi hiyo ni pamoja na Kiwira Coal and Power limitd. Tukumbuke pesa hizi zinatokana na makato ya...
Back
Top Bottom