Nimeona hilo valangati wakati napita Sam Nujoma nikasikitika sana. It is amazing kuwa with all its machinery serikali inashindwa ku-resolve this issue. Ingawa kila mtu anataka hilo punguzo, lakini iemfika mahali sasa baadhi ya waendesha magari wanaona ni heri serikali isingeingilia suala hili na mimi nawaunga mkono. Kama serikali ilijua kuwa haina ubavu wa kuwadhibiti wauza mafuta, ni afadhali wangeacha bei ile ile. kabla ta punguzo tulikuwa tunanunua petrol kwa Sh2,100 hivi. sasa hivi serikali imeleta bei ya Sh2,004 tofauti ni kama Sh100 tu. Ni kweli kwua hiyo ni fedha nyingi kwenye mahesabu ya mafuta ya gtari lakini usumbufu unaopatikana hivi sasa kwa uzembe wa serikali kushindwa kudhibiti hali hii, ni mkubwa kuliko hiyo tofauti ya Sh100.
Wananchi wakianza kuichukia serikali, viongozi wanaweza kuanza kulalamika kuwa wananchi wamechochewa. Kwa hili nataka niiambie serikali kuwa ni yenyewe ndiyo iantuchochea wananchi