Search results

  1. M

    Muuza madafu kwenye miaka 60 ya Muungano

    Kazi iendelee. Siri sio siri tena
  2. M

    Je, inawezekana Tanzania kuwa na Mkuu wa Majeshi (CDF) Mwanamke?

    Kuwe na awamu ya viongozi waandamizi wanawake na awamu ya wanaume. Maana naona wanajiona wao nibora zaidi
  3. M

    TANZIA Zuchi mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    Naombatu kuuliza. Kwani mafuta ya kumsafirisha x Mayor wa Ubungo na Malisa huyo alietoa alishindwa kweli kusaidia hapo karibu? Hakuna utu tena. Itafikia mahali watu watachukuatu maiti zao ajalini wakazike bila kusubiri hao watajwa
  4. M

    Wana CCM wazalendo ungeni mkono demokrasia, katiba mpya kwa manufaa ya nchi yetu

    Unaacha kuwashauri vijana na makundi mengine ya kiraiya unawashauri waliotengeneza tatizo walitatue? Wazalendo ni akina Wasira na Makamba au nani? Hebu tupe tafsiri ya uzalendo tuone hao wazalendo wakuipigania katiba mpya hapo ni akina nani. Zaidi ya Warioba taja mwingine
  5. M

    SIKU HII NDIO NILISHUHUDIA, NILIAMINI NA KUTHIBITISHA KWAMBA MAPENZI HAYANA WALA HAYAJALI UMRI

    Mapenzi nikama maharage tu. Vibogoyo,wenyemeno wote wanabugia
  6. M

    Nataka kusoma PhD: naombeni mawazo yenu

    Inaweza kua bora zaidi maana kuna kale kautafiti kalisema watanzania wanakabiliwa na tatizo la afya ya akili kwa kasi. Ona watu wanavojiua au kuuwa wenzao. Hilo ni tatizo la afya ya akili. Ona machawa walivokua wengi. Akili inakua imezorota
  7. M

    Ni umri gani mtoto aendelee kulala kitanda kimoja na wazazi?

    Nimekaa siti ya mbele hapa ngoja niwa zoom
  8. M

    Ni umri gani mtoto aendelee kulala kitanda kimoja na wazazi?

    Anaweza akakatalia hapo chumbani hadi nae atakapooa.
  9. M

    Kwanini watumiaji wengi wa kinywaji cha Energy ni madereva wa vyombo vya moto?

    Kwaifupi inaondoa uchovu na kuondoa wenge lausingizi. Zingatia neno wenge
  10. M

    Unasikiaga wanasema hakuna aijuaye kesho, si kweli. Nioneshe hivi vitu vitatu na mimi nitakuonesha kesho yako

    Ukiachilia mbali huo mtazamo wako je unajua kesho utaamka au huamki? Hata litakalo tokea baadae hulijui
  11. M

    Mzee wa Upako: Mgogo siyo Mchungaji, ni Mchekeshaji mwenye Kipaji

    ...... Bora mkono uende kinywani..... Imani bila matendo na elimu kazi inakua rahisi kwa viongozi dhidi ya waumini wao
  12. M

    Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa

    Anataka kutumia mbinu gani zaidi ya maandamano? Au anataka kuingia msituni?
  13. M

    Wabunge ndio nyinyi mliopitisha hiki Kikokotoo acheni kukwepa lawama

    Hesabu walizidiwa na lugha ikawachanganya
  14. M

    Hivi mashabiki wa Yanga hatuwezi kufanya mandamano ili CAF wapate ujumbe kuwa tumeonewa

    Hao viongozi bora wasingeenda huko Afrika Kusini maana hatujaona wakilalamika. Wachezaji walipoa tu hawadai. Wawaangalie waarabu wanavominyana. Yanga wametia aibu kama taifa la watu wakuonewatu
  15. M

    Wakazi wa Rufiji waliokumbwa na Mafuriko wahamishiwe Rombo mkoani Kilimanjaro

    Sasa mcheza baikoko ukamnyweshe pombe tena.
Back
Top Bottom