Search results

  1. sizzya007

    Nyumba inapangishwa Mbagala, Dar

    Kwa wale wakazi wa Dar es salaam Nyumba inakodishwa iko wilaya ya Temeke (Mbagala kizuiani), Vyumba vitatu, dinning room, sitting room na jiko. Ina eneo kubwa la parking Umeme na maji Iko mita 250 kutoka barabara kuu ya rami. Kwa mawasiliano 0717337571 0718052790
  2. sizzya007

    What are you trying to avoid?! A story that carry a very important question in our modern society!!

    Nini ni kile kitu kimoja unakiogopa zaidi na unajaribu kukikwepa kwa nguvu zako zote?! Kinapokuja unakabiriana nacho vipi?! Please share your story, it is through reading each other stories that we develop and grow. Karibu
  3. sizzya007

    Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

    Kuna siri kubwa sana chini ya majina tunayotumia humu JF pamoja na avatar zetu (wale wanaotumia picha zisio zao). Kwanini uliamua kujiita A na sio B?! Kwanini a jina feki na sio jina harisi?! Nadhani nianze na mimi mwenyewe, sizzya007 ni jina modified kidogo, hapo zamani nilikuwa natumia...
  4. sizzya007

    Serikali ya awamu ya 5 andaeni mpango kazi

    Wajameni, hamna mtu anayelipinga swala vijana kupata kazi na kujishughulisha, hayupo! Isipokuwa na vigumu sana kuamini yanayofanya na serikali ya awamu hii ya tano, mengi yanaonekana yako kisiasa, na hii ni hatari, nchi inaongozwa kwa mihemko ya kisiasa zaidi! Nitatoa mifano ya mambo kadhaa...
Back
Top Bottom