Search results

  1. Kande

    Katika hili la KKKT, CCM ina la kujifunza

    Vyovyote itakavyokuwa au mtakavyochukulia, Mh Mwigulu Nchemba katusaidia mno kuokoa kura nyingi sana eneo hili la Makanisa. Nafikiri tunajua nguvu za Viongozi wa dini wakiwaambia waumini leo Herufi A imebadilika na itasomwa kama B huwa hawahoji wao huingia kwenye utekelezaji tu. Nendeni maeneo...
  2. Kande

    Kanisa, Usiogope - Sitta

    Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Marehemu Samuel Sitta alipata kunena na kulitia moyo kanisa kuendelea kukemea maovu hata kama yanatendwa na serikali...
  3. Kande

    Zitto ataka kuonana na Askofu Kakobe sakata la uhamiaji

    Habari wadau, Taarifa nilizozipata kutoka kanisa la FGBF Mwenge kwa Askofu Zachary Kakobe ni kuwa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amefika kanisa hapo saa 7 mchana ili kuonana na Askofu Kakobe lakini hajafanikiwa kwasababu ibada ilikuwa inaendelea. Kwa mujibu wa Mhudumu wa mapokezi kanisani...
  4. Kande

    Mkurugenzi Mtendaji wa TBC, Dr. Ayoub Rioba apata ajali Kigoma, mtu mmoja afariki dunia

    Mkurugenzi Mtendaji wa TBC, Dr. Ayoub Rioba amepata ajali ya gari katika eneo la Mgombe, Kigoma ambapo mtu mmoja amefariki dunia. Taarifa hizo zimethibitishwa na Kamanda Wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Otieno
  5. Kande

    Dunia imempoteza Faru Dume wa mwisho mweupe huko Kenya

    Dunia imempoteza Faru dume wa mwisho mweupe, amekufa huko nchini Kenya akiwa na umri wa miaka 45. Amewaacha faru wawili weupe wakike pekee. Faru huyo aliyepewa jina la 'Sudan' alikuwa akitibiwa kwa muda mrefu kwa tatizo la misuli na mifupa. Utafiti uliofanywa mwaka 2016 unakadiria kuwa...
  6. Kande

    Mtoto aliyezaliwa na miguu 3 afanyiwa upasuaji na kuondolewa mguu mmoja

    Hakika wamefanya kazi kubwa kumnusuru mtoto huyo.
  7. Kande

    Mtoto aliyezaliwa na miguu 3 afanyiwa upasuaji na kuondolewa mguu mmoja

    Mtoto wa mdogo wa miezi 10 kutoka China ambaye alizaliwa na miguu mitatu umefanyiwa upasuaji wa masaa kumi na kuondolewa mguu mmoja. Madaktari nchini China wamefanikiwa kuutoa mguu huo watatu na sasa amebakiwa na miguu miwili kama binadamu wengine. Madaktari waliomfanyia upasuaji wamesema...
  8. Kande

    Wakazi kata za Kalamba, Haubi watembea kilomita 100 kufuata matibabu Kondoa Mjini

    Serikali imetoa milioni 600 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya kitakachengwa katika kitongoji cha Itongwi kata ya Kalamba wilayani Kondoa ili kutatua changamoto ya upatikanaji wa huduma za afya. Wakazi wa kata za Kalamba na Haubi wilayani Kondoa mkoani Dodoma wanalazimika kutembea umbali wa...
  9. Kande

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima apiga marufuku wananchi kupiga yowe

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima, amepiga marufuku utaratibu wa wananchi wa vijiji vitatu vya Remng’orori, Mikomarilo na Sirorisimba vilivyoko katika wilaya za Bunda, Serengeti na Butiama vinavyogambania mipaka ya wilaya zao, kupiga yowe pale inapotokea kuwapo na jambo la hatari. Marufuku hiyo...
  10. Kande

    Kilichojiri: Uzinduzi wa Ripoti ya 'Facing Forward: Schooling with Learning in Africa'

    Habari wadau wa JF, Leo tena Benki ya Dunia kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wanakutana kwenye ukumbi Council Chamber hapa UDSM kwa ajili ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti juu ya Mstakabali wa elimu Afrika ('Facing Forward: Schooling with Learning in Africa'). Mgeni Rasmi...
  11. Kande

    Jinsi jitihada za Lewis kumuua Malikia Elizabeth II zilivyokwama

    Shirika la Ujasusi la New Zealand (SIS) limethibitisha kwa mara ya kwanza kwamba kulikuwa na jaribio la kumuua Malikia Elizabeth II wakati alipotembelea jiji la Kusini la Dunedin mwaka 1981. Jaribio hilo la kumuua Malikia linalodaiwa kutekelezwa na kijana wa kiume limechochea hamasa ya polisi...
  12. Kande

    Freeman Mbowe na viongozi wengine sita wa CHADEMA waitwa rasmi Polisi kwa ajili ya kuhojiwa jioni hii!

    Nchi ya kusadikika.... nchi inaongozwa na washamba by Zitto voice
  13. Kande

    'Mobile Banking' inavyozinusuru taasisi za fedha dhidi ya anguko la uchumi

    Benki ya Equity imezindua huduma ya 'Eazzy Banking' itakayowawezesha wateja wa benki hiyo kufanya miamala ya fedha popote walipo na wakati wowote. Akizindua huduma hiyo leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity, Joseph Iha amesema 'Eazzy Banking' inakusudia kusogeza...
  14. Kande

    Dalili zaonesha Magufuli, Kagame, Museveni kukosa tuzo za Mo

    Acha jazba Miss, kila mtu ana Uhuru wa kusema anachokiamini. Usimtishe huyo jamaa wewe ndie umeleta uzi mjibu kama wanataka au hawataki?
  15. Kande

    Afrika Kusini: Idara ya Usalama imevamia makazi ya familia ya Gupta na kumkamata mmoja wa Wanafamilia

    Zuma anaondoka, Ramaphosa anaingia. Sasa na yeye nani atamtoa?
  16. Kande

    Katibu wa Bunge: Hali ya afya ya Spika Ndugai inaendelea vizuri, kurejea nchini wakati wowote

    Apambane na hali take. Jeuri yote ya mwanadamu iko kwenye ugonjwa, ukifika hapo huwezi tens kuendelea maana kifo kinakufuata. All in all get well soon Ndugai, taifa linakutegemea sana bado hujakamilisha majukumu muhimu bungeni.
  17. Kande

    Fulana(t-shirt) za JamiiForums sasa zinapatikana kwa bei ya TZS 20,000/=

    Wewe mleta tangazo acha lugha za ubaguzi kama hiyo unayosema Maalbino, wanaitwa watu wenye ulemavu wa ngozi. Tuwaheshimu hao watu.
  18. Kande

    Picha za Lowasa na Kingunge wakiwa na umri wa 30's ni umri wetu wengi humu

    Wazee wa zamani wanajua nini maana ya mke sio vijana wa kizazi hiki ambao kutwa kubadilisha wanawake.
  19. Kande

    Cyril Chami: Unapoongeza mbao na mabati mapya mazito kwenye nyumba kuu kuu ukitarajia upya ni mawazo yasiyo na daraja

    Sithole Tanzania....huyu mzee mwehu sana nchi hii inaingia shimoni muda so mrefu kila dili wanalopanga na bashite linabuma.
Back
Top Bottom