Search results

  1. mariah leos

    Nataka Kukunulieni Kuku Wana Jf...

    nataka kukubaga
  2. mariah leos

    Mazoezi ya Viungo....(Angalia kwa makini)

    hahahhahahah
  3. mariah leos

    Gazeti la serikali ya ccm (daily news tanzania ) lakiri chadema wins arumeru east pm election

    waibe kwa jeuri gani??yani huko ni kwishnehi kabisa maana walikabwa mpaka raha hakuna kuiba hata ka1 pumbavu kabisa
  4. mariah leos

    Ziko wapi Mimba za Chadema alizosema Lusinde???

    zimehamia kwake mwenyeweeeeeeee
  5. mariah leos

    CCM yaishika Pabaya CHADEMA-RAI

    hahahahahahahahahah!!!mlishajiroga wenyeeeeweeeeeeeeeee!!haya jilaumuni..mlishaambiwa mechi ni dakika 90 uwanjani sa nyie mnatabiri ikiwa ni dk ya 1??...LAKUCHUMPA BAAAAAAAAAB!!!!
  6. mariah leos

    Kwa matokeo haya Arumeru, ni pigo kwa B.W. Mkapa

    hahahahaaha!!thubutu yake,,,,alisema tuu
  7. mariah leos

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    not tommorow my dear!!!its now,,,that GOD shows us hataki tena maonevu na ufisadi
  8. mariah leos

    Usipooa Utaolewa...

    powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
  9. mariah leos

    Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenza wa maisha

    Great. Ila mi najiuliza ni vipi nitajua tabia ya mama ake endapo anaishi mbali mno?mfano mi nipo Arusha afu mamkwe mtarajiwa yupo Mtwara? Mambo mengi yananipa taabu kidogo kwani watu siku hizi hatuaminiki kabisa yaani tumekuwa wabaya kuliko hata wanyama.
  10. mariah leos

    Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenza wa maisha

    I will work on it. It seems very good to me. Thank you
  11. mariah leos

    Kauli ambazo wanawake wanapenda kuwaambia wanaume

    mwanaume gani wewe hata ukivaa suruali huonekani yani utadhani tambara la deki limetundikwa kwenye mlingoti
  12. mariah leos

    Wadada someni hapa

    hehehe!!haya hujasema..mrefu mfupi au??
  13. mariah leos

    Juice kwa kiswahil 2iteje?

    yaitwa sharobati mpendwa!!
  14. mariah leos

    Kuoa mwanamke wa kichaga

    mhhh!na kweli kaka angu
  15. mariah leos

    Mapokezi ya kamanda Lema Arusha

    mzalendo 80 sema mwenzangu...........ni madereva daladala wenye akili timamu na walala hoi wanaoona vya kwao vinaliwa na makada bila wao kunufaika navyo sa kwanini tusiwatoe nishai wanaotumaliza??????????wao walianza sie twamaliza mkuu.waendelee kuwa vilaza kwa kudai mwongozo kila kukicha...
  16. mariah leos

    Mapokezi ya kamanda Lema Arusha

    inawezekana mwenzangu..ila mwenzetu bado yupo enzi za urindi na ulimbombo....hata akijivua gamba sumu ipo palepale... namshauri abadilike kutokana na mazingira la si hivyo amekwisha na anazidi kumaliziwa.
  17. mariah leos

    Mapokezi ya kamanda Lema Arusha

    hakuwapa sawa bali aliwapa wa kimawazo na ndiyo maana leo anakuja kuzungumza nao.. sasa hawa wengine walitoa msaada gani hali ya kuwa wananchi walikuwa wakiteseka na hali tete ya usafiri????huoni LEMA alitoa angalau unafuu wakamwelewa na kufanya kazi??.
  18. mariah leos

    Mapokezi ya kamanda Lema Arusha

    mueleze ndugu......
  19. mariah leos

    Mapokezi ya kamanda Lema Arusha

    kichekesho kivipi??????????? kwani hao madereva wa daladala sio watu ni wanyama au???.... hahahahahaha!!!!labda nikucheke wewe huenda hujamuelewa muanzisha mada........cha kuchekesha ni kwamba mbona walimsikiliza lema na wakafanya kazi na hawakuwasikiliza hao makamanda wenye kupokelewa na...
  20. mariah leos

    Binti na mama mkwe

    dah!hiyo kali japo haileweshi..loh!!mkwe mwingine anakupiga hata na panga ukimjibu..loh!!!!
Back
Top Bottom