Search results

  1. T

    Kadiri Lowassa anavyojiimarisha CHADEMA, ndivyo chama kinavyofifia na kupotea

    Watu kama nyie ndiyo mnaturudisha nyuma. 2017 bado una matumaini ya Lowassa kuwa rais wako, kweli? How old are you and what is your level of education? You must be a Trump voter. Really.
  2. T

    Maelite wa USA watayarisha Sex Tape ya D.Trump!

    Hivi wewe unaijua Military-Industrial Complex au unaongea tu? Unafahamu uhusiano wa supporters was Trump na hiyo Military-Industrial Complex? Unajua maana ya slogan ya Trump "Make America Great Again?
  3. T

    2016 US Elections - Exlusive discussion thread

    Jamaa ni kubwa jinga. Ni sawa na mtoto unamuuliza kwanini umetukana halafu anasema mbona John ametukana?
  4. T

    2016 US Elections - Exlusive discussion thread

    Nikuulize wewe Bill ameingiaje kwenye huu ujinga wa DJT?
  5. T

    2016 US Elections - Exlusive discussion thread

    Hakuna cha ajabu WikiLeaks zaidi ya propaganda za The DeplorableNews (FoxNews).
  6. T

    2016 US Elections - Exlusive discussion thread

    Nilikuwa sijui kama Bill Clinton anagombea urais mwaka huu.
  7. T

    Mkutano wa Umoja wa Mataifa, kule New york

    There is no law against stupidity.
  8. T

    Mkutano wa Umoja wa Mataifa, kule New york

    Hiyo mikutano tangu ianze inamanufaa gani kwa taifa lako zaidi ya hotuba?
  9. T

    Kikwete kweli alikuwa wa Kimataifa: Umuhimu wa Lugha ya Kiingereza

    You must be chuffed with yourself...
  10. T

    Kikwete kweli alikuwa wa Kimataifa: Umuhimu wa Lugha ya Kiingereza

    Ondoa majungu na chuki zako hapa. Hivi wewe hata hicho ki-ingereza chenyewe unachopigia kelele unakifahamu kweli?
  11. T

    Kikwete kweli alikuwa wa Kimataifa: Umuhimu wa Lugha ya Kiingereza

    Ni vizuri ku-criticize kiongozi mmoja lakini ni roho chafu, ukosefu wa heshima na upendo ku-criticize kiongozi mwingine. Right?
  12. T

    Kikwete kweli alikuwa wa Kimataifa: Umuhimu wa Lugha ya Kiingereza

    Hicho kiingereza cha JK cha form II wewe umeona lugha? Jamaa anaomba hadi vitabu toka kwa mwananume mwenzake kama mwanamke malaya. What a shame?
  13. T

    TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

    Sijui unamaana gani unapotumia neno udhalimu? Serikali zote duniani ni serikali za kidhalimu hata hizo serikali zenu za Saudia na ile mnayoipenda sana ya Oman wote wadhalimu. Mzee Jumbe as early as 2000 hakuwa kifungoni. Alikuwa ana miaka 80, mzee wa miaka 80 angeenda wapi? Angeenda surfing...
  14. T

    TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

    Du! Sijui unaishi dunia ipi mkuu? Jumbe alikuwa anasafiri anakwenda kokote anakotaka as early as 2000. Wenye busara waliona hichi kifungo kilikuwa upuuzi waka tupilia mbali.
  15. T

    TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

    Hahahaa! Huo wimbo wa "Tax payer's money sisi wote tunaufahamu - tatizo lako jazba nyingi. Mwinyi na Mkapa wamejengewa nyumba Mikocheni, Kikwete Ada Estate. Need I say more?
Back
Top Bottom