Kikwete kweli alikuwa wa Kimataifa: Umuhimu wa Lugha ya Kiingereza

Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uwezo wa kumudu lugha ya Kiingereza na kufanikiwa katika maisha, biashara au Uongozi wa kisiasa...nchi zote ambazo ni English-speaking zimepiga hatua sana kimaendeleo na hazina migogoro ya kijingajinga kama nchi zetu hizi ambazo Kiongozi hubonga Kisukuma mwanzo mwisho kwenye hotuba zake bila haya!
 
Dik.... anasema Sadamu hussen alikuwa Rais wa Libya!!!

Kuna siku kasema Alienda Libya ilikuwa na hali nzuri kiuchumi watu wake zaidi ya million 30, walikuwa wanakula mema ya inch......mabeberu wamearibu libya, cha kushangaza Libya hata watu million 8 hawana
MZEE WA LIBYA NA KISWAHILI CHAKE
 
Back
Top Bottom