Malafyale
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 13,813
- 11,126
Isha sema ktk post yanguMkuu mi nmemtaja putin tu hamba sehem nlikomtaja jpm so tuongee abt putin maana abt jpm sifaham kip anajua kipi hajui nk,labda kuhusu putin anajua english vizur tu na wala sio ya kuunga unga so unaweza ingia youtube au vimeo ukadownload speech ambayo kuna mahali aliongea english...anafaham pia kijeruman hcho ndo anaunga unga....
Isha muona akiongea ktk TV ktk shughuli za kimataifa
Obama fluent yake sawa na Putin?
Ndiyo swali langu hilo