Search results

  1. multiple

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Ngoja nikusaidie kuwa tag mkuu Maana hapo haijakubali kama itakubali nitakuchekia pia. Certified Hater Depal Plan Master Evelyn Salt
  2. multiple

    Ni swali gani uliwahi kuulizwa kwenye interview likakuacha hoi?

    Mimi ningekua kwenye panel au ningekua ni HR Mtu tukimuuliza in technicalities how much can we pay for you value" Naye akaenda moja kwa moja kutaja labda amount,(figure) kujichekesha na au kusema sijui mambo ya according to salary scale au bla bla zinazofanana na hizo huyo mtu namtoa hapo hapo...
  3. multiple

    Ni swali gani uliwahi kuulizwa kwenye interview likakuacha hoi?

    ooouk yamkini.. kwaiyo swali hilo pia linaweza kuulizwa direct yani mfano how much can we pay on your value? nayeye hapo anaweza kutaja digits kabisa ? pia mkamconsider?
  4. multiple

    Ni swali gani uliwahi kuulizwa kwenye interview likakuacha hoi?

    Kwamba mnapima Value ya Mtu? hebu nijibu tena hapo bwana HR
  5. multiple

    Ni swali gani uliwahi kuulizwa kwenye interview likakuacha hoi?

    Mnapima value ya mtu?? hahaha we ni HR Umesema?
  6. multiple

    Mpenzi analalamika sina muda naye

    Eti umewekea na mabano kabisa nampa pesa tena sana.. tangazo limepambwa likapambika
  7. multiple

    Mkasa wa kweli: Nilijua nimeua

    Unaandikaje hivi wewe?
  8. multiple

    Tunahusika na uzalishaji, ufugaji, ufundishaji na uuzaji wa mbwa

    Hii mbegu ya GS Ndo unayo au ni picha umekwapua huko mitandaoni
  9. multiple

    Siku ukigundua mkeo ni mgonjwa wa HIV na hajakwambia utachukua uamuzi gani?

    Sikiliza nisiwe mnafki ubaya ubaya tu yeye hakutaka kukuonea huruma kukwambia hali yake. ila wewe kutaka kumuonea huruma ni wewe tu na moyo wako
  10. multiple

    Naomba msaada kati ya PCB na PCM ni chague ipi

    Aisee kama ni hizo basi endelea na hizo Combi zako man. ila ungetafuta hata HGE uko mbele unaweza pata mawazo mengine itakurahisishia
  11. multiple

    Naomba msaada kati ya PCB na PCM ni chague ipi

    sasa hivi si ni vituo tu vya safari yako.. nilimaanisha dream yako kusoma nini
  12. multiple

    Naomba msaada kati ya PCB na PCM ni chague ipi

    Target yao likua ni nini chuo?
  13. multiple

    2015 Picha zilizotamba

    Tusubiri tena miaka 50 mingine ndo CCM watapata pressure kama walioipata ile ya 2015
  14. multiple

    Manengelo nakupenda

    so ajaribu kufanya makadirio sahihi ya shoboling?:D:D:D:D
  15. multiple

    Manengelo nakupenda

    Cheers.. Chitchat is full of blah blah for lifeeeeee
  16. multiple

    Manengelo nakupenda

    Natambua hii Chitchat.. kama vipi
  17. multiple

    Manengelo nakupenda

    mitusi hutaki real?mbona anakwambia habari za ubooo hapa unakenua kenua, mama mtu mzima:D:D BTW nimekuelewa najaribu kufanya kama kujikuna tu
Back
Top Bottom