Ni ushauri tu,
kama unataka kuoa na una uwezo wa kufanya arusi, fanya, na kama umejitathmini pamoja na familia yenu na kujikuta hamuwezi gharama za harusi, tafadhali usitafute urafiki na kuchukua namba kwa kila utakae salimiana nae ili mradi baadae uombe mchango.
unajipa mzigo ambao...
Mimi nafikiri wanaume wengi tunakosea sana kutoonyesha misimamo yetu tangu tukiwa wachumba kwa kufikiria huenda atakuacha au akuone wewe ni wa maana sana, lla maisha ya ndoa hayako hivyo, kumbuka huyu ni mwenza wa maisha na huwezi kuishi kwa kujifanya maisha yako yote matokeo yake ndo hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.