Search results

  1. lechabo

    Serikali itafute namna sahihi ya kusimamia ukuta wa mererani

    Mkuu kila mgodi unasheria zake za usalama hakuna mgodi unaoruhusu mtu kuzama akiwa amelewa hata geti la mgodi husogelei ila chaajabu zaidi ukienda mererani mjini ukirudi umelewa hakuna anaekuuliza unaingia ukutani fresh Ukuta mzima umezungushwa taa na getini kuna wanajeshi si chini ya kumi na...
  2. lechabo

    Serikali itafute namna sahihi ya kusimamia ukuta wa mererani

    Mgodi ni kama kiwanda kazi zinafanyika 24/7 tanzania bado ni nchi maskini iweje uweke sheria kazi ifanyike masaa 12 pekee
  3. lechabo

    Serikali itafute namna sahihi ya kusimamia ukuta wa mererani

    Habari za jioni wakuu...! Naandika haya nikiwa nipo ndani ya ukuta wa mererani mda huu,kama mchimbaji na pia mfanya biashara ya kibanda(duka) ndani ya ukuta. Toka ukuta ujengwe tumekua tukipitia wakati mgumu sana katika biashara na pia uchimbaji ambapo tumeingiwa na hofu juu ya ustawi wetu...
  4. lechabo

    Hivi mashirika ya habari kama ya BBC au DW yanajiendeshaje?

    Nafikir hata mm,maana Kuna lile shirika la habari la umoja wa mataifa
  5. lechabo

    Kama nyie mnaomba Wachunguzi wa Kigeni Tanzania na Mimi naomba sasa waje Waandishi wa Habari wa Kigeni pia

    Naunga hoja mkono Ukimsikiliza mwandishi wa kitanzania akimhoji kiongozi au hata msanii unaweza ukatapika kweli,
  6. lechabo

    Sijawahi kuona mapacha wa kimasai

    Hicho nacho kilikuja na mzungu nmekikuta ukubwani mkuu
  7. lechabo

    Sijawahi kuona mapacha wa kimasai

    Huo utafiti wako rudi darasani mzee,mimi ni mmasai pure na nmekulia umasaini Kukuhakikishia pia mke wangu kajifungua mapacha miezi kazaa iliyopita Note;wamasai hatuna kafara ya damu ya binadamu katika kabila la kimasai kumwaga damu ya binadamu tunaita ENYAMU Inaaminika kwamba ukimwaga damu ya...
  8. lechabo

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ukipata jibu na mm unijuze mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. lechabo

    Julius Mtatiro namuweka kwenye kundi la watanzania ninaowapenda sana

    Julius mtatiro anasema hajaona jambo lolote zuri aliloitendea nchi yake miaka ya kadhaa sasa,kwahiyo anaona upinzani si kitu cha maana?sasa Kama hajui kama upinzani unatija gani ktk taifa hili na haoni mchango wake huku sisi watanzania tumeona mchango mzr hasa kutoka kwake akiwa kama mpnzani...
  10. lechabo

    Serikali imekosa mtaalam na mpanga mikakati Ukuta wa mererani ??????

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] tunasubir tu tamko la Tanzanite
  11. lechabo

    Serikali imekosa mtaalam na mpanga mikakati Ukuta wa mererani ??????

    Habari wanajamvi Naandika Haya nikiwa ndani ya ukuta wa mererani kwa machungu kutokana na usumbufu unaotukumba sisi tunaojipatia kipato chetu kutokana na madini ya Tanzanite. Serikali ilijenga ukuta kuzunguka migodi yote ili kudhibiti upotevu wa kodi kupitia utoroshwaji wa madini uluiokua...
  12. lechabo

    Unawezaje kutambua kabila la mtu haraka haraka ?

    Sasa mbn hiyo lafudhi yako haielewek mkuu
  13. lechabo

    Jinsi ya kutoa uchawi laana(vijicho) kwenye mwili

    Asante mkuu,kama kweli kuna uchawi mbn kuna watu wanachukiwa tanzania nzima kwa kusababishia watu shida na matatizo? Inamana tanzania nzima kakosekana mchawi wa kuwaloga? Au uchawi wao ukoje [emoji1]
  14. lechabo

    Kwaheri Tanzania: Juma langu la Kwanza ndani ya Ukraine, Odessa

    Mkuu tutaftane pm tunaweza fanya jambo
  15. lechabo

    Haya ni aina gani ya madini?.

    Luster ni kama blue saphire
  16. lechabo

    Penzi la mpwa (mtoto wa binamu upande wa mama)

    Kwahyo mkuu nini suluhisho
  17. lechabo

    Penzi la mpwa (mtoto wa binamu upande wa mama)

    Nashukuru nimejitambua leo kumbe mm idiot lkn na ww inaonekana ni fool
  18. lechabo

    Penzi la mpwa (mtoto wa binamu upande wa mama)

    mshana jr tupe uzoefu wako
  19. lechabo

    Penzi la mpwa (mtoto wa binamu upande wa mama)

    In short John ana mahusiano na mtoto wa binamu yake Anaomba ushauri wako
Back
Top Bottom