Search results

  1. EFRAM

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Dr nieleweshe hapa. Nina vifaranga chotara wamemaliza wiki nne. Cha ajabu niliona wamepatwa na ndui wakiwa na wiki tatu. Nikapewa tetracycline nikawapa kwa siku tano. Leo tena nashangaa bado ugonjwa upo. Pia naomba kujua ugonjwa huu huwashika vifaranga/kuku wa umri gani?
  2. EFRAM

    Utambulisho

    Asante Sana
  3. EFRAM

    Let's share: Uliwahi kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabla (msamaria mwema)? Kipi kilitokea?

    Abuu bin Umar ni vibaya Sana mtu kakosea kutuma hela au kitu chochote kikakufikia wewe ukachukua Hali ukijua kuwa amekosea.. Last week nilitumiwa hela ya kupeleka rambirambi msibani namba ikakosewa ikaenda kwa jamaa mwingine pamoja na kumweleza ni hela ya nini bado aliichukua. Sasa najiuliza...
  4. EFRAM

    Utambulisho

    Hapana
  5. EFRAM

    Utambulisho

    Asante Ely
  6. EFRAM

    Utambulisho

    Tayari
  7. EFRAM

    Utambulisho

    Asanteni kwa ukaribisho.
  8. EFRAM

    Utambulisho

    Hodi humu JF. Naitwa Efram ni member mpya naomba kukaribishwa
  9. EFRAM

    Nahitaji kuku wa kienyeji/chotara

    idadi ya kuku ninaohitaji ni 28 na namba yangu ya simu ni 0717176743
  10. EFRAM

    Nahitaji kuku wa kienyeji/chotara

    habari za hapa jf, ninahitaji kuku wa kienyeji/chotara wale ambao ndio kwanza wameanza kutaga au ambao wamebakiza kama wiki 3 waanze kutaga. niko maeneo ya Airport DSM. naomba kuwasilisha.
Back
Top Bottom